Abdulrahman Kinana: Who is he?


Ni Al-Shabab mmoja toka Somalia. Aliyejipenyeza na kujipachika uTanganyika kwa mbinu za kijasusi. na kufanikiwa kuingia jeshini (kama wale Wanyaruanda waliorudi kwao). Pia yeye ndiye mfadhili na mmliki wa magenyge ya MAJANGILI wanaoua wanyama pori wetu. Na hata hizo pembe za ndovu/vifaru zinazo kamatwa huko Asia ya mbali, yeye ndiye mmiliki. Wasomali wote wanao ingia Tanzania jaribuni ku muuliza yeye. Si wengi wanapitia Arusha???!!!! Huyo ndiye Abdurahman Kinana. Zaidi ni PM.
 
Mkuu, sioni ubaya wa kujadili uraia wa mtanzania yeyote. Kama baba na mama yake wote ni raia, si useme tu. Mama yake ni binti fulani wa kijiji fulani kata, tarafa wilaya na mkoa fulani . Kuna ubaya gani. Ikiwa unahamaki itafikiriwa kuna mahali tumegusa pasipotakiwa kugusa. Pana jipu hapo? Ikiwa pana jipu basi tulitumbue ili tutoe usaha pasije pakaoza. Hata kama tunampenda sana Kinana kwa mazuri yake, lakini haina maana kuwa tusitake kumfahamu zaidi. Nadhani itakuwa vizuri zaidi kuliko kufichaficha. Hata kama uraia wake ni wa karatasi sio wa damu, tujue pia, sheria si inaruhusu? Mbaya kama kuna sheria amevunjwa. Hata kama sio raia, sio kosa lake, kwani wanaopaswa kusimamia sheria walikuwa wapi? Lakini ikbainika kuwa kuna sheria ilikiukwa, basi sheria ichukue mkondo wake. Mbona waliojenga kwenye hifadhi ya barabara ya Morogoro, wanavunjiwa? Zoezi ni endelevu. Tulidhani ni kwa sheria zote, au zingine hapana?
Angalia mfano wa uraia wa Rais Baraka Obama wa Marekani ulijadiliwa kwa kiina. Baraka Husen Obama alionyesha cheti chake cha kuzaliwa toka hospitalini alikozaliwa. Kwa nini iwe nongwa kwa Abdularhaman Kinana? Acha hizo!
 
Hakika nimekumbuka huu uzi: Who is Abdulrahman Kinana?
 
Huyu jamaa ni msomali pure,nenda pale Arusha kuna drycliner moja inaitwa facon,ipo karibu na metropole cinema, kuna mdogo wake pale ni msomali wala huna haja ya kuuliza.wazazi wake pia ni wasomali wapo pale mtaa wa bondeni,hatakama sio wazazi wa kumzaa pale ndio kwao na ndugu zake wapo pale.huyu jamaa kwa ukweli ni portures,tembo na faru wote kawamaliza yeye.
 

Mkuu wangu massai,Huyu jamaa uraia wake ukoje mpaka dakika hii?
 

kweli..anamiliki mtandao wa mapouchers,FALCON DRYCLINER ni zake na siku izi kawahamishia ndugu zake kule NDURUMA
 
Uongozi ndani ya ccm unabadilishwa kila kukicha,this is an indication that everyone in is dirty, if not suffering from decay.
 
Naona ni mTanzania kwa vile kazaliwa Nduruma na mama yake ni Mtanzania ijapokuwa ni Msomali.
 
Pia ni mzuri kwenye wizi wa kura ,kacheza picha ya EPA na deal za pembe za ndovu si mbovu ni gamba na fisadi wa karne anaweza kufungua chuo! kwa hayo
Si anajifanya amebobea kwenye intelijensia,CDM 2015 mwekeni ktk timu ya kampeni Mabere Marando ili ale nae sahani moja,mwizi wa kila aina huyu jasusi tena atakuwa ni Freemason huyu rafiki mkubwa wa Sir Chande!
 
Kumsingizia ni msomali ni kukosa agenda za maana tu. Siasa za watu waliofilisika kisiasa
 
Naona ni mTanzania kwa vile kazaliwa Nduruma na mama yake ni Mtanzania ijapokuwa ni Msomali.

Bora wewe umesema....Kuna wengine wanaona ni watanzania zaidi ya wengine...poor them! Badala ya kumshinda kwa hoja tunaleta vitu ambavyo wala havina mashiko...siasa muflisi za ukanda, udini, ukabila etc
 
Kuna kosa gani kiongozi kumpokea mwekezaji mwarabu unataka awe mwafrika, kila nchi ulimwenguni sasa zinakaribisha wawekezaji toka nchi tofauti bila kubagua zikiwemo za magharibi inabidi watanzania tuelimishwe kuhusu faida za uwekezaji.
 
Unaweza kuwa raia hata kama mamaako na babaako hawakuzaliwa hapa, wewe ukabila unakuhangaisha mtu amelitumikia taifa umri wake wote unauliza uraia wake sasa, umekua uhamiaji. Kama kuna kosa amelifanya peleka sehemu husika, unafikiri watu wote wamezaliwa hospitali, unataka ifananisha umarekani na Tanzania, mamilioni ya watanzania wamezaliwa majumbani.
 

Kuna Mstafu mmoja wa JWTZ alikuwa nae KINANA Vita ya AMINI Uganda,alitusimulia,Ushujaa aliouonyesha ktk Bataliani yao hawataweza kuusahau.
 
Kumbe uraia wa Kinana una mushkheli ndo maana hana uchungu na Mali asili zetu kama tembo na faru.
 

Kadogooo usitake kuchefua watu hapa. Hivi huyu Kinena ni baba au babu yako???
Unatetea ujinga. Kinana Uraia wake ni questionable utake usitake. Hemu jaribu kusoma hii Biograph yake toka kwenye Wekipedia:

Kwamba alizaliwa mwaka 1951, akatumikia Jeshi la Wananchi Tanzania kwa miaka 20 na akastahafu Jeshi mwaka 1972!!!Je, wewe kwa akili yako unaweza kukubaliana na uongo huu ulio dhahiri hapa? Kwamba mtu amezaliwa mwaka 1951, kwa maana hiyo mwaka 1972 alikuwa na miaka 21 lakini mwaka huohuo akastahafu Jeshi baada ya kulitumikia kwa miaka 20 akiwa na Cheo cha Kanali.......!!!!

Hiki ni kichekesho. Lazima kuna siri inafichwa mahali fulani hapa. Watangnyika tunataka kujua Uraia halali wa Kinena. Kazaliwa wapi, na nani na mwaka gani!!! Kinana na vibaraka wake wa CCM kuna kitu wanaficha hapa. Kinana ana asili ya Kisomali, tunataka kujua wazazi wake wako Somalia au wako Tanzania? Na kama wako Tanzania walikuja mwaka gani na yeye alizaliwa Somalia au Tanzania? Je, alishawahi kuukana Uraia wake wa Somalia na kupewa Uraia wa Tanganyika?? Maana kama kweli alizaliwa mwaka 1951 iwe Somali au Tanzania lazima atakuwa aliandikishwa kama Raia wa Tanganyika!

Sasa wewe Bwana Kadogoo tunaomba utuwekee hapa Jamvini Birth Certificate ya Kinana ikionyesha alizaliwa tarehe ngapi huo mwaka wa 1951,hosptali gani,Kijiji gani,Tarafa,Wilaya na Mkoa na nani walikuwa wazazi wake. Kama aliapa Mahakamani weka Affidavidt yake kuonyesha ni Mahakama gani na nani walikuwa Mashaidi wake. Je, Passport yake ya kwanza aliipata mwaka gani na ilitolewa wapi na alikuwa anasafiri nje ya nchi kwenda wapi???

Tunaomba majibu ili tujiridhishe kama kweli Kinana ni Raia Halali wa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika.

[h=1]Abdulrahman Kinana[/h]From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
[TABLE="class: metadata plainlinks ambox ambox-content ambox-Refimprove"]
[TR]
[TD="class: mbox-image"]
[/TD]
[TD="class: mbox-text"]This article needs additional citations for verification. Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed. (May 2013)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Abdulrahman Kinana[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Chama Cha Mapinduzi Secretary General[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Incumbent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
November 2012[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Chairman[/TH]
[TD]Jakaya Kikwete[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Preceded by[/TH]
[TD]Wilson Mukama[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]1st Speaker of the EALA[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
November 2001 – 2006[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Succeeded by[/TH]
[TD]Abdirahim Abdi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party[/TH]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Abdulrahman Omari Kinana is a Tanzanian politician who served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly.[SUP][1][/SUP]
[h=2]Kinana Background[/h]Kinana served in the Tanzanian armed forces for 20 years before retiring as a Colonel in 1972.
He has also served as the Deputy Minister of Defence, Deputy Minister Foreign Affairs and Minister of Defence. He was also a member of the Tanzanian Parliament for Arusha constituency for 10 years.
 
Ndugu, Wewe kwa akili yako umeona wikipedia is a reliable source of information?.

Unapoanza kujenga hoja lazima mantiki ya hoja yako iweze kusimama kwenye msingi na nguzo ya hoja.

He who knows not and knows not he knows not is a fool!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…