Abdulrahman Kinana Na Artumas

Abdulrahman Kinana Na Artumas

Hii topic ishaanza kuwa ya Kidaku daku hivi............
 
Jamani eeeeH......ZINDUKENIII!!!

It is VERY important makampuni ya kigeni kuwa na walau local directors, ili tujue kitu gani kinaendelea ndani kwa maslahi ya wananchi na pia kuwa na local insights/contribution. Lakini pia kuwa members kwenye maboard makubwa haya ni sehemu ya CAPACITY BUILDING!

Tatizo ni political figures ambao wanapenda kunyakua kila kitu, na zaidi ni kuingia kichwa kichwa kwa sababu za kibinafsi zaidi (allowances) bila kuangalia mitego na nia ya Executives wa kampuni hizo. Mbaya zaidi wanasiasa hao hata elimu ya aina ya biashara wanayokwenda kutoa ushauri wao ndani ya boards hizo hawana, not even a clue!

Mara nyingi, especially kwenye delevoping countries, Multinational companies wanawaweka political figures ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa kutumia influences zaidi badala ya merits! ( ati wanasema it helps knocking the right doors, and speeds up and avoids unnecessary bureaucracy).

Solution ni kupunguza bureaucracy serikalini, kushawishi walau 30% ya nafasi za non executive members of board of directors wa applied na sio kupewa kwenye silver plate!

Na pia kuwe na publication ya list na wasifu wa wakurugenzi wa makampuni ambayo yanaathiri moja kwa moja maslahi ya taifa, kama vile artumas!
 
Hii nchi natamani niwe Mnyarwanda tu uozo kila mahali na mijitu haisikii ni deal tu kila kitu.
Hawa jamaa wanaweza wakaingia na deal nyingine chafu zaidi ya hizi za kuuza watu si tupo.
 
Hii topic ishaanza kuwa ya Kidaku daku hivi............

Mpigie simu JK umuulize kama huu UDAKU we Fair Player unajua kabisa hii habari ni nzito na ina UHUSIANO NA MKAPA, CHENGE, KINANA, VITA YA COMMORO, TANESCO, RICHOMOND NA KILA KITU!
 
Jamani eeeeH......ZINDUKENIII!!!

It is VERY important makampuni ya kigeni kuwa na walau local directors, ili tujue kitu gani kinaendelea ndani kwa maslahi ya wananchi na pia kuwa na local insights/contribution. Lakini pia kuwa members kwenye maboard makubwa haya ni sehemu ya CAPACITY BUILDING!

Tatizo ni political figures ambao wanapenda kunyakua kila kitu, na zaidi ni kuingia kichwa kichwa kwa sababu za kibinafsi zaidi (allowances) bila kuangalia mitego na nia ya Executives wa kampuni hizo. Mbaya zaidi wanasiasa hao hata elimu ya aina ya biashara wanayokwenda kutoa ushauri wao ndani ya boards hizo hawana, not even a clue!

Mara nyingi, especially kwenye delevoping countries, Multinational companies wanawaweka political figures ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa kutumia influences zaidi badala ya merits! ( ati wanasema it helps knocking the right doors, and speeds up and avoids unnecessary bureaucracy).

Solution ni kupunguza bureaucracy serikalini, kushawishi walau 30% ya nafasi za non executive members of board of directors wa applied na sio kupewa kwenye silver plate!

Na pia kuwe na publication ya list na wasifu wa wakurugenzi wa makampuni ambayo yanaathiri moja kwa moja maslahi ya taifa, kama vile artumas!

Mnyoofu watu kama nyie ndio mlitakiwa muishauri serikali yetu!
Sasa kama washauri ni kina KOMBA NA MAKAMBA... Je Tutafika?
 
Kwenye CV ya Marope Bungeni haionyeshi ushiriki wake kwenye Artumas wala makampuni yake mengine, je ni siri au alikosea tu kuongezea? Hivi kwenye form zake za ku-declare mali inaonyesha udirector wake?
 
Na kama SPIKA SIX anajuwa haya kwanini huyo mtu aingie BUNGENI NA WAKATI KESHAONA WORK ETHICS ZIME KIUKWA?

Kwani sasa ni SIRI TENA kuwa MROPE NI JANGILI?
Yeye na Abdulrahman Kinana?

Halafu hata hawana haya kuweka picha za watu masikini na huku mikataba yenyewe ni ya KIFISADI?

Kwani nani hajuwi sasa hata sisi TANZANIA NI MATAJIRI NA SI MADINI TU NA ARDI YENYE RUTUBA PAMOJA NA MIUJIZA YA KITALII...BALI PIA TUNA MAFUTA!

Sasa MKAPA NA KINA MROPE NA KINANA WANATAKA TAIFA LIGAWANYIKE ILI WABAKI NA MAFUTA HAYO WENYEWE HUKO MTWARA NA MADINI YOTE HUKO MARA!
 
na Kama Spika Six Anajuwa Haya Kwanini Huyo Mtu Aingie Bungeni Na Wakati Keshaona Work Ethics Zime Kiukwa?

Kwani Sasa Ni Siri Tena Kuwa Mrope Ni Jangili?
Yeye Na Abdulrahman Kinana?

Halafu Hata Hawana Haya Kuweka Picha Za Watu Masikini Na Huku Mikataba Yenyewe Ni Ya Kifisadi?

Kwani Nani Hajuwi Sasa Hata Sisi Tanzania Ni Matajiri Na Si Madini Tu Na Ardi Yenye Rutuba Pamoja Na Miujiza Ya Kitalii...bali Pia Tuna Mafuta!

Sasa Mkapa Na Kina Mrope Na Kinana Wanataka Taifa Ligawanyike Ili Wabaki Na Mafuta Hayo Wenyewe Huko Mtwara Na Madini Yote Huko Mara!

Nadhani Washaanza Kutengeneza Ushahidi Sasa
 
Nazani Washaanza Kutengeneza Ushahidi Sasa

Na ndio maana nilitowa OMBI hao watu wawekwe ndani kwanza..Halafu wakitoka wasiruhusiwe kujihusisha na siasa hadi hapo sheria itakapowasafisha!

Kitendo cha kuwaachia UHURU kiasi hiki ni kutaka kupelekea mvurugano kwenye jamii kwani style zao za kujisafisha ni za kuleta matengano hatari yanayoweza kusababisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

Hivo bado nasisitizia...Hao watuhumiwa tafadhali wakamatwe.

Maombi haya ya kutaka wakamatwe..Mwema alisema kuwa hawezi kufanya hivyo...Sasa Mwema yeye ni Mkuu wa POLISI..NA NCHI NAYO HAINA AMIRI JESHI MKUU?

Na ndio maana hata watu hawana tena hamu na AWAMU YA NNE kwani majukumu ya kuwashughulikia mafisadi wameachiwa watu wasiokuwa na uwezo wa kufanya hivyo!

Kama makosa yalikuwa ni ya Rais aliyepita wa awamu ya tatu...Then ni nani wa Kuamuru ukamatwaji wake zaidi ya Rais wa awamu ya nne?
 
Mnaonaje tukiandaa maandamano ya nchi nzima.... Kuelezea nia yetu ya kuona maswala ya ufisadi yanashughukikiwa.
 
mnaonaje tukiandaa maandamano ya nchi nzima....kuelezea nia yetu ya kuona maswala ya ufisadi yanashughukikiwa

Maandamano yaitishwe hiyo powa tu!
Lakini ni kivipi Mwema aliyesema anawaogopa mafisadi atatoa kibali?

Mimi naona JK MWENYEWE AKIFANYA HIVYO BASI HATA WANANCHI BADALA YA KUANDAMANA...Watampigia kura 2010.
What about the JK Option?
 
NCHI KWELI IKO MIKONONI MWA WATU BINAFSI!
Sasa SERIKALI IMESHIRIKISHWA?
Kumbe kuna MAFUTA MTWARA NA NDIO MAANA MKAPA ANATAKA TANZANIA IGAWANYIKE?

Ndoo hivyo Jmushi, nakuunga mkono na miguu kwa pamoja, nchi imeshauzwa hii.
 
Ukiona Mwanasiasa Wa Tanzania Kakaa Kimya Ujue Pensheni Ya Wizi Anayokula Sio Ndogo
 
Kaazi kweli kweli, kama ARTUMAS walienda kuwekeza Comoro kwa ombi la Rais wa Tanzania JK, hapa kuna walakini. Yaani safari zote hizi nje za kutafuta wawekezaji, kumbe anawatafutia Wacomoro!!
 
ukiona Mwanasiasa Wa Tanzania Ka Kaa Kimya Ujue Pensheni Ya Wizi Anayokula Sio Ndogo

Sasa na hao wanaosema JK anaumwa na hawezi kuongoza nchi... Wanasema ukweli ama ni propaganda?
 
Sasa na hao wanaosema JK anaumwa na hawezi kuongoza nchi...Wanasema ukweli ama ni propaganda?

Kuongoza Nchi sio kama kuongoza Biashara ya Baa/Club.....Unatakiwa uwe makini katika kila hatua unayoichukua, Kila serikali Duniani ina tatizo la kuzungukwa na malyobist ambao huwa wako kalibu na serikali kwa manufaa yao na hawajali taifa, Hivyo Kikwete Kazi aliyo nayo sio ndogo ya Kuhakikisha anawasambarataisha malobysit , ambao wako kwenye nafasi nyeti za serikali na za kiuchumi na Biashara, hivyo maoni yangu na malizia kwa kuusema , KIKWETE NI RAIS MZURI NA BORA SEMA TIMU YAKE NDIO ......IMEOZA, WAFUNGAJI BUTU, HIVYO HTUWEZI KUONA MAGOLI, TUTAISHIA KWENYE DROO TU KAMA INAYOENDELEA SASA
 
Mkuu nakuelewa..
Ila sasa wewe ni AMIRI JESHI MKUU BANA...CHUKUWA HATUA!
Nchi inaendeshwa na MKAPA na wala si kulaumu tu timu yako!
Kwani hata baraza la mawaziri si ni yeye aliyekupangia?
Yani baada ya mwalimu kufa sasa ni yeye ana REMOTE?
Haya mambo ya kina KINANA hayafai!
Na hata mikataba mibovu ulitakiwa uifute!
Sijapendezwa kabisa na usemi wako wa DROO!
Hatutaki droo!
WAZALENDO NI EITHER WASHINDE AMA WAFE!
PERIOD!
AMA HATA JESHI LINAMSIKILIZA MKAPA TU?
 
Nakuelewa mzee....Kimsingi lazima MAFISADI WOTE WASHUGHULIKIWE.
 
Wakuu,

Katika nchi za Afrika imekuwa rahisi kwa makampuni ya nje kuingia na kufanya biashara bila matatizo kwa sababu wanatumia local partners.

Hii hoja ipo na inatumika.

Kwa hio nadhani hawa watu plus local Tanzanians ndio wana-exploit.

Je tunaweza kuangalia masharti ya kuwekeza kwa kampuni za kigeni kupitia kituo cha uwekezaji?
 
Back
Top Bottom