Abdulrahaman kinana na Nape Nmauye ndani ya ifakara.

Nadhani si bure magamba wamewaroga watu hawa, maana walikuwa wanakimbia kurudisha kadi za CDM kama vile zinawasumbua mikononi mwao....
Maigizo hayo tulishayazoea. Magamba wana mamilioni ya kadi za CDM za kufanyia maigizo kwenye mikutano yao mbali mbali ili kuwaaminisha watz kwamba watu wanakihama hicho chama.
 
Nadhani si bure magamba wamewaroga watu hawa, maana walikuwa wanakimbia kurudisha kadi za CDM kama vile zinawasumbua mikononi mwao....
Dearhoney labda walidhani ni mawe kwa hasira wakaji kuta wanawatupia kadi, kwali CCM wamechokwa nahasa yule jamaa aliye hoji kuhusu pembe za ndovu, wakazidi kutupa kadi
 
Tengeneza picha kisha leta hapa maana nyie ni mabingwa wa ku-edith picha na vidio za uongo umeshindwa nini kuweka hapa hizo picha?gamba kweli wewe
 
Ukiona mtu amefikia hatua ya kujidanganya yeye mwenyewe ni mtu wa kumsikitikia sana,anajitekenya mwenyewe na kujichekesha!wanatengeneza kadi na kuwapa watu wawarudishie mikutanoni...ukweli uwa una nguvu kuliko kifo
 
Yaliyotokea Ifakara jana jioni yamenishangaza baada ya hotuba ya Kinana kwenye mkutano wa hadhara, wananchi wengi sana walokuwa na kadi za Chadema na kidogo Cuf walikuwa wanarusha hovyo kadi hizo na kushinikiza kupewa za CCM.

Picha naleta soon
Furahisheni nyoyo zenu kwa kujidanganya.

Kwa Ifakara ninayoijua mimi, hiyo kitu sahau.
 
Maigizo hayo tulishayazoea. Magamba wana mamilioni ya kadi za CDM za kufanyia maigizo kwenye mikutano yao mbali mbali ili kuwaaminisha watz kwamba watu wanakihama hicho chama.

..yaaa kweli...
 
Yaliyotokea Ifakara jana jioni yamenishangaza baada ya hotuba ya Kinana kwenye mkutano wa hadhara, wananchi wengi sana walokuwa na kadi za Chadema na kidogo Cuf walikuwa wanarusha hovyo kadi hizo na kushinikiza kupewa za CCM.

Picha naleta soon
Kwani CCM haina watu wenye taaluma ya MICROSOFT PUBLISHER kuweza kutengeneza kadi zenye uelekeo wa kama za CHADEMA?!
Ni mara ngapi CCM imenunua kadi za vyama vya upinzani?
CCM ingalikuwa inapendwa kiasi hicho,isingalikuwa unahaha kuvichafua vyama vya upinzani...
Tangu lini BARCELONA IKATEGEMEA RAFU KUPATA USHINDI?!
 
Acha unafiki hizo zi mmesafiri nazo toka Dar mkawapa wananchi baada ya luwapa posho kidogo ili wazirushe mkimaliza umbea wenu. Au mnadhani intelegensia ya mabadiliko haijawanasa?
 
Maigizo hayo tulishayazoea. Magamba wana mamilioni ya kadi za CDM za kufanyia maigizo kwenye mikutano yao mbali mbali ili kuwaaminisha watz kwamba watu wanakihama hicho chama.

mkuki kwa nguruwe binamu mchungu sasa nimeanza kuelewa jambo likifanyika upande wa gamba halikubaliki linakuwa maigizo lkn upande wa gwanda inawezekana
 
Katibu mkuu wa chama akiongea na wana ccm ifakara. Uhai wa chama utegemea wanachama, sasa ndugu zetu CCM wanaelekea wapi?
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    49.6 KB · Views: 56
  • 2.jpg
    2.jpg
    50.2 KB · Views: 58
  • 1.jpg
    1.jpg
    43.3 KB · Views: 52
Yaliyotokea Ifakara jana jioni yamenishangaza baada ya hotuba ya Kinana kwenye mkutano wa hadhara, wananchi wengi sana walokuwa na kadi za Chadema na kidogo Cuf walikuwa wanarusha hovyo kadi hizo na kushinikiza kupewa za CCM.

Picha naleta soon

Tunawapongeza waliofanya hivyo!! Tunatarajia kuona wananchi wengi hasa wenye uwezo wa kuleta mabadiliko ndani ya Chama ili kiendane na hali ya kisiasa na tekinolojia iliyopo sasa!!
 
Hana haja ya picha mie nimehudhuria mkutsno kidogo niwatukane makafiri hawa, eti wanatupa kadi za chama changu hadharani,sijui wamerogwa nini na magamba...nyambafu zao

Zitakuwa ni zile fake za magamba ili kutufumba macho
 
Hana haja ya picha mie nimehudhuria mkutsno kidogo niwatukane makafiri hawa, eti wanatupa kadi za chama changu hadharani,sijui wamerogwa nini na magamba...nyambafu zao

kwa hiyo sasa hv mkienda sehemu mnaanzisha ID mpya kutokana na mazao au shughuli la eneo hilo.morogoro mvunjamiwa,tabora mkulima wa tumbaku,mwanza mvuvi,hahaha ccm mnakuja na cheap propaganda sana.
 
Back
Top Bottom