Abduli Nondo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe. Amewaomba wananchi kumrejesha bungeni ili akapambane na ufisadi kulingana na historia yake katika kupambana na vitendo hivyo.
Nondo ametoa kauli hiyo wakati akimnadi mgombea huyo katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mwanga community centre.
Nondo amewataka wananchi kufanya maamuzi sahihi na sio kumchagua mgombea ambaye atakwenda kukitumikia Chama chake na sio wananchi
Soma pia: Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)