Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,410
- 31,397
Hawa wznz hataki muungano, hivi wanakuwaje na uchungu na eneo ambalo wao hawalipendi?Mbona kaka yake alikuwa mbunge Mkuranga? chao ni chao (Wazanzibar), chetu (Watanganyika) ni chetu wote (Watanganyika na Wazanzibar!)
Hivi mzanzibar anajuaje matatizo ya Kigamboni asikoishi?
Hawa wanatuita sisi nchi jirani, kwanza ni lazima wapate work permit na wasishiriki shughuli za kisiasa za Tanganyika.
Wana nchi na serikali yao, haya ya Tanganyika watuachie wenyewe.