Abdul Mwinyi kumng'oa Dr Faustine Ndugulile Kigamboni

Abdul Mwinyi kumng'oa Dr Faustine Ndugulile Kigamboni

Kwani Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanganyika? Tayari hela wa walipa kodi zinawalipa mishahara na posho wabunge wa Bunge la JMT ambao wanatoka nchi ya Zanzibar (kila mmoja akiwakilisha mtaa) kwa kuja tu kukaa Dodoma na kuleta ushabiki usiokuwa na manufaa kwa watanganyika na bado wanataka wachukue majimbo yetu? Hii ni kutukaba koo. UKAWA fanya kitu hapo.

Mwinyi na watoto wake sio wazanzibari.
Kuwa rais baba ake kule zanzibar ni sawa na Ian smith kuwa waziri mkuu wa Zimbabwe.
Mpemba aliekaa bongo miaka 50 bado anahesabiwa Mzanzibar na sio Mtanganyika.
Hivyo huyo abdul ni mbongo kuliko wewe.
 
..kuna gazeti la Observer la Uganda ndiyo waliandika kuwa wabunge wanawake wa Uganda walikuwa wakimgombea Mh.Mwinyi.

cc Remote, Mzito Kabwela

Looh salaleh! huyo Mh. Mwinyi alijuaje katerero wakati yeye sio mtu wa huko!? Kiasi kwamba anagombaniwa na wabunge wanawake wa Uganda.

Maana wanawake wa Kiganda wanapenda sana katerero!
 
..kuna gazeti la Observer la Uganda ndiyo waliandika kuwa wabunge wanawake wa Uganda walikuwa wakimgombea Mh.Mwinyi. cc Remote, Mzito Kabwela
Watoto wa Kiganda ni visu vya hatari! Hata Pasco anavijua. Wengi wapo natural, miili ya kiafrika wamejazia yale maeneo yetu yaleeee, nywele zao hazina madikodiko na wanaweza mambo! Kama wamemgombania basi ni bahati yake
 
Last edited by a moderator:
Looh salaleh! huyo Mh. Mwinyi alijuaje katerero wakati yeye sio mtu wa huko!? Kiasi kwamba anagombaniwa na wabunge wanawake wa Uganda.Maana wanawake wa Kiganda wanapenda sana katerero!
Katerero watoto wa Kampala hawaijui. Wao siku hizi ni mahodari wa 'kuzungukia uani'
 
Mwinyi na watoto wake sio wazanzibari.
Kuwa rais baba ake kule zanzibar ni sawa na Ian smith kuwa waziri mkuu wa Zimbabwe.
Mpemba aliekaa bongo miaka 50 bado anahesabiwa Mzanzibar na sio Mtanganyika.
Hivyo huyo abdul ni mbongo kuliko wewe.

Kwenye red: Mtoto wake Hussein Mwinyi aliwezaje kugombea ubunge Zanzibar? Au Mtanganyika anaruhusiwa kugombea ubungo Zanzibar?
 
Kwenye red: Mtoto wake Hussein Mwinyi aliwezaje kugombea ubunge Zanzibar? Au Mtanganyika anaruhusiwa kugombea ubungo Zanzibar?

Kwa ccm kila kitu kunawezekana.
Nje ya hapo hata Seif sharif alinyimwa kuandikishwa
 
Hawa wznz hataki muungano, hivi wanakuwaje na uchungu na eneo ambalo wao hawalipendi?

Hivi mzanzibar anajuaje matatizo ya Kigamboni asikoishi?

Hawa wanatuita sisi nchi jirani, kwanza ni lazima wapate work permit na wasishiriki shughuli za kisiasa za Tanganyika.
Wana nchi na serikali yao, haya ya Tanganyika watuachie wenyewe.

Nani amekwambia mwinyi ni mzanzibari hivi hua mnaandika mkiwa chooni au ndio shule za fm akademia
 
Mtoto wa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi aitwae Abdul Mwinyi ametangaza kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni.

Mtu wake wa karibu amesema kijana ameshajiweka vizuri na chama chetu kinampigia chapuo ili kumuondoa Mbunge wa sasa.

Wiki ijayo kuna kikao cha marafiki wa mzee mwinyi ambacho ni maalumu kwaajili ya kumsaidia mtoto wao Abdul ili ashinde ubumge Kigamboni.
Atakuwa anajisumbua na kupoteza fedha zake bure!, Dr. Ndungulile amewekeza kwa watu!, tena namsisitizia Dr. Ndungulile, Kigamboni ni yako!, CCM wakiufanya ujinga wa wakuleta zengwe la kukuengua, just cross the border, uendelee kuwatumikia watu wako!.

Pasco
 
CC; laki si pesa
 
Last edited by a moderator:
Watoto wa Kiganda ni visu vya hatari! Hata Pasco anavijua. Wengi wapo natural, miili ya kiafrika wamejazia yale maeneo yetu yaleeee, nywele zao hazina madikodiko na wanaweza mambo! Kama wamemgombania basi ni bahati yake
Hayo makitu yanawahusu wanawake wa eneo lote linaloitwa 'Inter Lucustrine Kingdoms' zilizuhusisha Bachwezi, Bunyoro-Kitala, Baganda, Nyankole, Toro, Karagwe, Bahima, Abakama, Abairu, etc, wanawake wao wote ni jamii moja. Kwa huku Tanzania tumebakiwa na Wahaya na Wahangaza, Rwanda wana Wanyarwanda, Watutsi, Uganda wana Baganda, Wanyankole na Watoro!.

Hao wote ni hatari tupu!.

Pasco
 
Atakuwa anajisumbua na kupoteza fedha zake bure!, Dr. Ndungulile amewekeza kwa watu!, tena namsisitizia Dr. Ndungulile, Kigamboni ni yako!, CCM wakiufanya ujinga wa wakuleta zengwe la kukuengua, just cross the border, uendelee kuwatumikia watu wako!.

Pasco
Border pekee kwa Faustine ni Chadema. Kule kwa mshindi wa tatu hawezi kupata nafasi kwa sababu wana vigezo vigumu mithili ya kigezo kilichong'oa Sitta uspika. Na Chadema wamesha declare mapema kuwa hawataki makapi. Anza kumpa pole Faustine na kama anaweza aanze training za ujasiriamali
 
Kikao cha Ndungulile anatoa elfu 5 wakati vikao vya mwinyi ni sh 50,000.
Mwinyi amejipanga sana,Zile chupa za Chai walizopewa kama zawadi zitamuondoa Mb.

siasa za namna hii sizishabikii sana.
 
Border pekee kwa Faustine ni Chadema. Kule kwa mshindi wa tatu hawezi kupata nafasi kwa sababu wana vigezo vigumu mithili ya kigezo kilichong'oa Sitta uspika. Na Chadema wamesha declare mapema kuwa hawataki makapi. Anza kumpa pole Faustine na kama anaweza aanze training za ujasiriamali

Makapi ni nini au nani kwa muktadha huu. . . . .CCM wakizingua kweli aende huko aitishe harambee kabisa kama hela tu siku hizi wananchi wanajua maana ya umoja ni nguvu!!!
 
Nani amekwambia mwinyi ni mzanzibari hivi hua mnaandika mkiwa chooni au ndio shule za fm akademia

Utanzania wa cheti au upi unaouongelea??!
Tanganyika tunajuana wala huna haja ya kukamaa sana juu ya hili
 
Looh salaleh! huyo Mh. Mwinyi alijuaje katerero wakati yeye sio mtu wa huko!? Kiasi kwamba anagombaniwa na wabunge wanawake wa Uganda.

Maana wanawake wa Kiganda wanapenda sana katerero!

Pasco Anasema ni Mvuto wa asili!
 
Last edited by a moderator:
Nilizipata habari hizi desemba mwaka jana. ni kweli kuwa huyu mtoto wa mstaafu anagombea na amejipanga kipesa zaidi. Diwani Dotto ndio anatumika kukusanya wapambe kukutana na mwinyi. Dr ajipange
 
Back
Top Bottom