johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Mwanasiasa nguli?!Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho
Mh Kambaya anesema kwa sasa anabaki kuwa raia Huru
Source Mwanahalisi Digital
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Mwambao wa Bahari ya HindiMwanasiasa nguli?!
😂😂😂 Mbowe kaingizwa Mjini😂😂😂 vijana wa kisasa hao.....
Njaa ni kitu ingine jamaa angu
Mbowe hajaingizwa town, dogo ndio anaua career yake hivo😂😂😂 Mbowe kaingizwa Mjini
Wewe bado tunashinda wote humu Kila siku😀😀😂😂😀😂😀😂
Mh Kambaya karamba Asali na kusepa fasts!
Umaarufu wa mh Kambaya ndio umeongezeka!Mbowe hajaingizwa town, dogo ndio anaua career yake hivo
😂😂😂😂😂 Prof Lipumba katisha sana!Wewe bado tunashinda wote humu Kila siku
Si muwe munawapakulia wali wa kutosha? Au muwe mnatafuta vijana walioshiba saaanaa??😂😂😂 vijana wa kisasa hao.....
Njaa ni kitu ingine jamaa angu
Wafuasi wake basi warudinaeMwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho
Mh Kambaya anesema kwa sasa anabaki kuwa raia Huru.
---
ABDUL Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Ametangaza uamuzi huo hii leo tarehe 3 Mei 2023, jijini Dar es Salaam.
"Ninaondoka Chadema na sitojiunga na chama chochote. Kwa sasa mimi ni mwanasiasa huru,” ameeleza.
Source Mwanahalisi Digital
Chama cha kuleta mabadiliko sisi M hii hii?Stop jokingSiku chache tu Bw.Kambaya na wenzake walikimbia CUF na kwenda Chadema wakidai ndio chama chenye uhakika wa kushika dola, akapita mikoa yote ya pwani kuisema vby serikali ya CCM, wengine tunaojua siasa tukawa tunamcheka tu, Leo amerudi tena kwa waandishi wa habari na kutangaza kuihama CCM.
Ujumbe wangu kwa Kambaya ni huu.
1. Nchi hii vyama vya siasa ukiondoa CCM ni biashara
2.CCM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania, hatukatai kina mapungufu yake lakini yanatatulika.
3.Huwezi kuwa kambale mbele ya Sugu, Lema, Msigwa, Lissu, Heche na Wenje, hao akili zao wote ni ubunge tu ili maisha yaende mbele.Kutukana kote serikali wanataka kwenda bungeni kutanua.
4.Kambaya achana na siasa, mwacheni mama apige kazi na atimize malengo yake.
5.Wenzako akina Katani waliyaona haya wakarudi CCM mapema, sasa wanapambana wakiwa ndani ya chama.
6.Utahangaika vyama vyote lkn unapoteza muda wako.
7.Kama chama cha siasa kilichokuwa cha ukweli na kilibeba matumaini ya watu kilikuwa ni NCCR Mageuzi ya marehemu prof Abdulrhaman Babu.Kiko wap sasa hivi.
8.Narudia tena, hakuna chama wala mwanasiasa wa upinzani mwenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko hapa nchini zaidi ya CCM.Hakuna, hakuna, hakuna.
Chadema inakimbiwa hadi na mh Kambaya?!!Labda wamemaliza tofauti zao na propesa,si unajua uhawara hauna talaka