heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Anapumuliwa kumbe
Huyu ndiye anayetikisa nchiHivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na "mkuu wa majeshi", tukagonga "cheers" na kula kuku, kwa kweli tuliburudika.
Ni mtu mwema na muadilifu sana, ana moyo wa huruma na mwenye kutanguliza maslahi ya Taifa mbele.
Sikuwahi kudhani kama ningewahi kutokwa na machozi ya furaha kiasi kile, aliniahidi kuwa nguzo kuu ya jeshi la uamsho ni uadilifu na uchapakazi.
Huyu ni mkuu wa majeshi ya uamsho, anaitwa Dullah, tulisoma nae hapo Dar miaka ya nyuma lakini baadaye akaamua kuunda jeshi lake la kujitegemea la uamsho.
Ni mtu poa sana. Mcheki hapa chini.
View attachment 3499718