Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Nimemuona hapa kupitia Channel Ten akinadi sera zake kwenye Ofisi za CCM Kinondoni.Majura anagombea ubunge kati ya aidha Jimbo la Kinondoni au la Kawe.
majura yupi?Ameanza lini kupenda ccm Majura? Duh kweli siasa hazitabiriki
majura yupi?
Abdala Majura na mwingine kaongeza jina moja anajiita Abdala Majura Bulembo tunaomba tuambiwe nani anatumia jina la mwenzake
Tena hawa ni ndugu. inaonekana mkubwa anatumia cheti cha mdogo. Hi ndio Bongo
ana bahati mbaya sana kuchagua upande mbaya wa historia.
Abdalla Majura aliyekuwa TBCCCM
Huyu jamaa kwa sasa anamilik Media yake
Ha ha ha,akapambane na Azzan
haha..maccm ni very counter productive...yalizoea kuiba ndio maana hayapo efficientHa ha ha,akapambane na Azzan
Abdala Majura na mwingine kaongeza jina moja anajiita Abdala Majura Bulembo tunaomba tuambiwe nani anatumia jina la mwenzake
Makongoro si anataka kawe pia..?