ABC kuhusu Nchi ya Malawi

Sema kuna geti nyingi sana ila wamalawi hawapendi sana wabongo ki ukweli afu wana roho mbaya.Mmalawi akivuna karanga anauza anaagiza gari akati ansishi nyumba ya nyasi afu haina choo.kuna screpa nyingi sana kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sijawahi kukutana na mmalawi bomba yaani niliokutana nao wote ni vimeo!
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…