Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 55
Asante Maalim sasa nipe basi mchanganuo wa gharama nije fastaKaribu Malawi sheikh wangu, nitakuwa mwenyeji wako. ...Nitafute
Mtama Ulihehe Jewe?Karibu Malawi sheikh wangu, nitakuwa mwenyeji wako. ...Nitafute
Ntarudi Nataka kujaribu changamoto mpyaNgoja Wanakuja
Ila Unaondoka Tanzania Ni Pazuri Sana
Nchi Ya Asali Na Maziwa
Huko Utakwenda Kupata Tabu
Nimetoka uhamiaji jana nataka nichukue Pass ya dharura ya siku 90Sio wabaguzi kabisa na hawana shida na wageni , kikubwa uwe na passport. Kama umepeleka mzigo hakikisha umelipia mpakani na una documents zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaNtarudi Nataka kujaribu changamoto mpya
😂😂😂😂Songea? Hapana. Nenda Kyela ukivuka mpaka pale utapata basi hadi mji wa Kalonga, utapita mlima cheweta hadi Mzuzu na kupata basi la kwenda Lilongwe na Blantyre. Mji mzuri ni Blantyre, lugha ni English na Chechewa. Ila biashara fanya Lilongwe. Wanawapenda sana watz, nauli andaa 100,000 hadi Blantyre. Utapewa miezi mitatu ya kuishi, ikikaribia kuisha tuma passport mpakani ukagongewe tena. Maisha ya kawaida hawana wanawake wazuri kama Bongo. Bia ni casberg na heinekeni na castle lager kutoka south. Ukifika Blantyre tafuta bar inaitwa California kuna mademu wazuri kutoka Tz. Ngoja namalizia bia nitajazia mengine mengi
Utapeli wako uliishia wapi!?Karibu Malawi sheikh wangu, nitakuwa mwenyeji wako. ...Nitafute
Uliishia hivi hivi
Jewe ndi ibagamoyo.Mtama Ulihehe Jewe?
Wewe si ulitoka kigoma juzi kati hapa kwenda dar kutafuta ajiraKaribu Malawi sheikh wangu, nitakuwa mwenyeji wako. ...Nitafute