Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,450
- 5,277
Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu.
Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini? Kuhutubia mifugo ambayo mnasomba kwenye malori.
Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini? Kuhutubia mifugo ambayo mnasomba kwenye malori.