Aanguka akiliwahi lori la kampeni za CCM Mbeya

Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu.

Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini? Kuhutubia mifugo ambayo mnasomba kwenye malori.

Aitwe Tlaatlaa anayo majibu
 
Hahahaa.......Watawaua watoto wa maskini
 
Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu.

Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini? Kuhutubia mifugo ambayo mnasomba kwenye malori.

Hii mijitu mijinga sana, Abdul anatembea na gari ya bilion 2 unusu, wao wanapandishwa kwenye malori kama mifugo!!!😅😅😅
 
Back
Top Bottom