Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
796
Reaction score
1,848
Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.

HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21).

Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”.

1. Hazina hii hutunzwa mahali pa siri na panapolindwa kwa umakini mkubwa.

2. Familia inaweza kulala njaa, mgonjwa akakosa matibabu, na hata ng’ombe akauzwa lakini NYANTAKOLWAKOLWA haiguswi.

3. Hazina hii huguswa endapo uhai wa Mkuu wa Kaya umo mashakani au yuko katika hatari ya kupelekwa kifungoni.

4. Hazina hiyo inaweza kuguswa endapo mali nyingine zooote zimeshindwa kutatua tatizo linaloikabili familia au hizo hazina thamani ya kutatua tatizo hilo.

5. Ili kuigusa hazina “ISIYOGUSIKA”, kibali huwa kinatafutwa. Kwa familia sharti Mkuu wa Familia, Mtoto mkubwa kiume, Mke mkubwa endapo kuna zaidi ya mmoja, na rafiki wa damu wa familia (omukago) ili wakubali kuwa NYANTAKOLWAKOLWA “isiyogusika kirahisi” iweze kugusika ili kuokoa uhai wa Mkuu wa Kaya.

6. Endapo imekubalika kuwa hazina hiyo iguswe ili kutatua tatizo la familia, basi wana ukoo hujulishwa na kupewa fursa ya kwanza “kuigusa” ISIYOGUSIKA kabla ya kuwafikiria watu wa nje. Ni hatari mtu wa nje kunufaika na NYANTAKOLWAKOLWA bila ridhaa ya wanaukoo.

7. Hata mwana ukoo ambaye hajazaliwa ana haki ya kukua na kudai na kukomboa NYANTAKOLWAKOLWA ya familia au ukoo.

Lakiniiiiiii

Wajaluo hap hao wanasema, Fimbo uliyo nayo mkononi ndiyo unaitumia kumuua nyoka. Huwezi kuazima fimbo unapokabiliwa na hatari.

Lakiniiiiiii

Ukitumia fimbo ikavunjika au ikaisha, na nyoka wakaendelea kuja, unafanyaje na fimbo zimeisha?

Bwana akamwambia Musa, “una nini mkononi mwako?” Akajibu, “ni fimbo”(Mwanzo 4:2).

Mpaka Musa anakufa katika nchi ya Moabu, fimbo (NYANTAKOLWAKOLWA) alikuwa nayo.

Uamuzi wa kuuza NYANTAKOLWAKOLWA ni shirikishi.

Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha.
 
Ndo ishauzwa sasa kumuokoa mkuu wa kaya na kifungo
 
Kumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. Na siyo vibaya kuuza kiasi kuliko kwenda kukopa kwenye mabenki kwa ajili ya kujenga hiyo miundombinu
 
Ww ni mpuuzi huu mkakati alianzisha magu, huyo mamaako hana Hiyo akiri ya kununua madini
 
Samuya na gavana Tutuba mfano huu wa asili kutoka jamii mojawapo ya kiTanzania mkishindwa kuelewa mantiki yake, basi ndiyo dola (state) imefeli.
 
Halafu gold reserve yenyewe ina thamani ya $1.3 billion tu. Ndogo sana. Inahitaji kuongezwa, sio kupunguzwa!
 
Kumbuka kabla ya Samia BOT ilikuwa hainunui gold. Tumeanza kununua mwaka 2023 kwa mikakati yake na sasa tuna tani 15. Kuna ubaya gani kuiuza kiasi kipindi hiki ambacho gold imepanda kwa zaidi ya 60% soko ili ku finance ujenzi wa miundombinu?? Mikakati ni ya kwake ndiye aliyeanzisha kununua. Na siyo vibaya kuuza kiasi kuliko kwenda kukopa kwenye mabenki kwa ajili ya kujenga hiyo miundombinu
Kwani si tulikuwa tunaambiwa kwenye makusanyo ya kodi inakusanya mpka inapita malengo ya yaliyowekwa? Hahahahha misaada imezuiliwa leo mnalialia endeleeni na kutumia fedha zetu za ndani uwezo tunao.
 
Back
Top Bottom