AAmIR KhaN AKIELEKEA HIJJA!

sasa analeta ubishoo hata kwenye ibada mbona kifua wazi?

No! Sio ubishoo kwa mwanamme waweza kufanya ibada hata kifua wazi, uislam unahesabu uchi wa mwanamme ni kuanzia kitovu hadi magotini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
No! Sio ubishoo kwa mwanamme waweza kufanya ibada hata kifua wazi, uislam unahesabu uchi wa mwanamme ni kuanzia kitovu hadi magotini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
nashukuru kwa jibu maana nilikuwa sijui hiyo,ila mimi milihisi kama yeye amefanya kama tabia ya wasanii ilivyo.
 
Akihiji kifua wazi.
Kuua kwao ni kama kuua mbu.

No! Yapo makosa mhalifu akiyatenda lazima auwawe kama kweli mnayo nia ya kuinusuru jamii yenu. Waangalie wa china walivyofanikiwa ktk maswala ya kuzuwia rushwa na madawa ya kulevya.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…