kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,434
- 4,996
Inapendeza Sana mtu mwenye akili akisimamia uhalisiaMkuu Fundi Mchundo , kesi ikifutwa kwa Nolle, ni kesi yote inafutwa na washitakiwa wote wanaachiwa huru!. Hii kesi ya Mbowe imethibitisha Tanzania hatuna kabisa criminal defence attorney wa level ya Murtaza Lakha!.
Ingekuwa ni Lakha, saa hizi nolle zamani!. Angemaliza hii kesi day one. Kwa vile kuna uthibitisho kuna mtu anaitwa Lijenje alikamatwa nao na hadi sasa hajulikani alipo, kazi ya kwanza ya Murtaza Lakha ingekuwa ni kuanza kwa kujaza tuu kitu kinaitwa Habeas Corpus, kuomba mahakama, iiamuru serikali kumleta Linjenje mahakamani!. Kesi ingeishia hapo!.
Hawa mawakili waliopo kiukweli ni kama hakuna kitu kabisa!.
P
Siyo kwa Mahakama hii ambayo Jaji mchongo anahalalisha hukumu ambayo tayari imeshaandikwa na mawakili wa Serikali.Mkuu Fundi Mchundo , kesi ikifutwa kwa Nolle, ni kesi yote inafutwa na washitakiwa wote wanaachiwa huru!. Hii kesi ya Mbowe imethibitisha Tanzania hatuna kabisa criminal defence attorney wa level ya Murtaza Lakha!.
Ingekuwa ni Lakha, saa hizi nolle zamani!. Angemaliza hii kesi day one. Kwa vile kuna uthibitisho kuna mtu anaitwa Lijenje alikamatwa nao na hadi sasa hajulikani alipo, kazi ya kwanza ya Murtaza Lakha ingekuwa ni kuanza kwa kujaza tuu kitu kinaitwa Habeas Corpus, kuomba mahakama, iiamuru serikali kumleta Linjenje mahakamani!. Kesi ingeishia hapo!.
Hawa mawakili waliopo kiukweli ni kama hakuna kitu kabisa!.
P
Mkuu Fundi Mchundo , kesi ikifutwa kwa Nolle, ni kesi yote inafutwa na washitakiwa wote wanaachiwa huru!. Hii kesi ya Mbowe imethibitisha Tanzania hatuna kabisa good criminal defence attorneys wa level ya Murtaza Lakha!.
Ingekuwa ni Lakha, saa hizi nolle zamani!. Angemaliza hii kesi day one. Kwa vile kuna uthibitisho kuna mtu anaitwa Lijenje alikamatwa nao na hadi sasa hajulikani alipo, kazi ya kwanza ya Murtaza Lakha ingekuwa ni kuanza kwa kujaza tuu kitu kinaitwa Habeas Corpus, kuomba mahakama, iiamuru serikali kumleta Linjenje mahakamani!. Kesi ingeishia hapo!.
Hawa mawakili waliopo, japo wapo wapo tuu kama wapo, ila kiukweli ni kama hakuna kitu kabisa!.
P
Hivi kuna mahali Jamhuri imekiri kumshikilia Lijenje? Kama haijakiri, utetezi watathibitisha vipi kuwa alikamatwa ikiwa juhudi zao za kuonyesha kuwa wakina Adamoo waliteswa ( mpaka kuonyesha makovu), kuwa hawakuwahi kuwa central zote zimetupiliwa mbali na Mheshimiwa Jaji? Kwa namna hiyo watailazimishaje jamhuri kutoa mtu ambae wanasema walimtafuta na hawakumpata?Mkuu Fundi Mchundo , kesi ikifutwa kwa Nolle, ni kesi yote inafutwa na washitakiwa wote wanaachiwa huru!. Hii kesi ya Mbowe imethibitisha Tanzania hatuna kabisa good criminal defence attorneys wa level ya Murtaza Lakha!.
Ingekuwa ni Lakha, saa hizi nolle zamani!. Angemaliza hii kesi day one. Kwa vile kuna uthibitisho kuna mtu anaitwa Lijenje alikamatwa nao na hadi sasa hajulikani alipo, kazi ya kwanza ya Murtaza Lakha ingekuwa ni kuanza kwa kujaza tuu kitu kinaitwa Habeas Corpus, kuomba mahakama, iiamuru serikali kumleta Linjenje mahakamani!. Kesi ingeishia hapo!.
Hawa mawakili waliopo, japo wapo wapo tuu kama wapo, ila kiukweli ni kama hakuna kitu kabisa!.
P
Pascal Mayalla anasahau mambo mengi katika kesi hii ya Mbowe tofauti na ya uhaini..hivi kutokuonekana kwa Lijenje huwezi kukulinganisha na kutokuonekana kwa Lugakingira ktk kesi ya uhaini ya miaka ya 80?
..Na Murtaza Lakha si alikuwa wakili wa utetezi ktk kesi hiyo?
..Sasa kwanini hakuwasilisha hiyo habeas corpus ktk kesi ile? Kwanini alishindwa kuibananisha jamhuri mpaka kesi uondolewe?
..Hatuwezi kuhukumu umahiri wa mawakili wa utetezi au hata wa jamhuri wakati kesi bado inaendelea.
..Hata kesi ya uhaini ya miaka ya 80 tungetoa maksi wakati kesi inaendelea badala ya kusubiri mpaka mwisho wa kesi huenda tungewapa maksi ndogo sana mawakili wa jamhuri / waendesha mashtaka.
..umahiri wa upande wa jamhuri ktk kesi ya uhaini ya 1980s ulionekana wakati wa majumuisho / closing argument. Kwa maoni yangu walishinda kesi ile dakika za mwisho kwenye majumuisho.
KESI ya kubumba inasema wakina ADAMO walitakiwa fadhiliwa na FAM,Sasa utwaachaje ndani, ???Si mnaweza kushitakiwa pamoja lakini wengine wakaachiwa kwa kukosa ushahidi na wengine wakatiwa hatiani?
Amandla...
Umeandika ukweli,pale Kuna vimbwanga, meza inapinduliwa waziwazi ,watu wanahapia vitabu vitakatifu wakijua wakifanyacho sio kweli, Binadam tunampa KAZI ngum Sana Mungu,japo tunasema ni mwingi wa rehema ,ila achezewi hovyohovyo, binadam wote ni sawa Mbele zake, machozi ya mateso KWa watu wake wasiokua na hatia ,hayatawaacha salama,ndivyo ilivyo na ilishakuaPascal Mayalla anasahau mambo mengi katika kesi hii ya Mbowe tofauti na ya uhaini
Kwa waliofuatilia kesi ya uhani 80's Majaji walikuwa 'wima' katika kufuata sheria
Hii ya sasa Jaji anautaka upande wa mashtaka ukafanyie marekebisho baadhi ya vifungu
Jaji anakataa ushahidi na kutoa ''maoni yake' badala ya sheria
Katika mazingira ya kawaida huenda hata mawakili wa utetezi wangejitoa . Kuwalumu????