Aaah,wamekata

Aaah,wamekata

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,209
Daah,nimemtumia mama mwenyenyumba kodi wamekata
nimetumiwa mchango wangu wa harusi wamekataaaaaa
 
nimefungua huu uzi ili niusome, wamekata.
 
Tume pokea posho za mafunzo ya sensa. Aaaaaa wamekataaaa........
 
Mi huwa nachekaga yule mwanafunzi alietumiwa ada. Alafu wakakataa.
 
Tumelipia luku tucheki fainali wamekata, TANESCOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Tumeshinda kesi ya ubunge Igunga, wamekataaaa
 
Kazaliwa mtoto wa kiume ana ngozi ndeefu cha ajabu leo ile ngozi wamekata
 
Nimeomba kusoma kupitia TCU majina wamekataaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom