Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

Hapo mi ndio narudi kulekule msichana abaki kuwa msichana hakuna kujifanya unampa ofa wala kumwonyesha kama una kauwezo fulani ka kujikimu maana huwezi jua mwingine atakufata sababu anaona atabenefit kitu fulani, hapo nakumbuka miaka ya nyuma huko dada zetu walikuwa hawahami kwa wazazi kama hajaolewa hii itamzuia hata huyo mdanganyifu kuhamia unakoishi au kujua lifestyle yako. lol? poleni wadada ambao hamjaolewa sababu mna kazi kubwa sanasana kuwatambua wenye nia nzuri na mbaya.
 
Tatzo lenu nyie wadada m2 akishakua HB mnadata you don't even take time to find the background the man....
Matungusha,wanawake baba yao mmoja mama yao mmoja,mwanamke akishapenda bana hata umpe tahadhari vipi hatakusikiliza,unajua kwa nini? Ni kwa sababu ya kila mwanamke kuamini kuwa anaweza kumbadili tabia mwanaume.No wonder wanaume kibao unakuta amezaa na kuwatosa wanawake kibao na si kwamba madem wanakuwa hawapewi tahadhari kwamba fulani ni kiwembe kazi kuoa/kujenga mahusiano na kuacha la hasha tahadhari wanapewa sana lakini ndo ile mentality ya 'ah hapa kwangu Kigoma mwisho wa reli,amefika' baada ya siku mbili mikono kichwani.I can assure you huyu jamaa so long as ni handsome,soft spoken na anaingia chumvini kwa sana ataendelea kuwalamba tu hadi tusikie kaanza dozi.
 
Mwana bishanga sio wote wanawake wana mentality hiyo, ila yes wapo wanaojitosa kwa mtu hata kama wanajua ni kiwembe cha hali ya juu nimeona na nimeshuhudia, ila pia wapo wanawake wanaofanikiwa kumbadilisha mwanaume kiwembe akawa mtu mwema
 
Asante Firstlady1, nimeshawapitishia habari mashost wengine wa mjini..huyu kaka aaibike siku moja!
 
Ni kweli Eng.Smasher mkigombana atahakikisha na pete yake umerudisha na ugomvi wake mkubwa lazima umkamate na kadate kengine ,kwa hasira hata pete utamtupia ,ama atakuomba nirudishie na ka pete kangu:wink2:

We subiri tu, labda tusimjue. Ipo siku hiyo pete tutamvisha yeye!
 
Mwana bishanga sio wote wanawake wana mentality hiyo, ila yes wapo wanaojitosa kwa mtu hata kama wanajua ni kiwembe cha hali ya juu nimeona na nimeshuhudia, ila pia wapo wanawake wanaofanikiwa kumbadilisha mwanaume kiwembe akawa mtu mwema

Gaga,hapo kwenye red,mwanaume kiwembe wa ukweli ukweli unaweza kumbadili kweli? sijui ,labda,sana sana mi naona atabadili mbinu za kuchepuka,anyway labda,lakini itakuwa one in a million.
 
Asante Firstlady1, nimeshawapitishia habari mashost wengine wa mjini..huyu kaka aaibike siku moja!
BJ,fisadi wa ngono hata siku moja haaibiki,na tatizo kubwa katika jamii yetu ukware tunautukuza ndo maana mtu anaona sifa kuitwa kiwembe/mpigaji/dume la mbegu etc,ni mbaya lakini ndo hivo.
 
ina maana mnatajiana huyu mtu kwenye PM,na ina maana sisi wengine ambao sio wa mujini have no right to know him

Siyo hivyo Son, Firstlady katoa mada based on a true story hivyo nimepitisha habari kwa ma girls ili wawe aware..ni kuwa na tahadhari kabla ya hatari!!..
Pia nimependa approach ya Firstlady imekaa kiushauri zaidi!...
 
BJ,fisadi wa ngono hata siku moja haaibiki,na tatizo kubwa katika jamii yetu ukware tunautukuza ndo maana mtu anaona sifa kuitwa kiwembe/mpigaji/dume la mbegu etc,ni mbaya lakini ndo hivo.

Hapo ndiyo nakerekaga akifanya mwanamke majina kibao ila wanaume most of the time inakuwaga kama sifa fulani..sipatagi jibu kwenye hili!! Hata hivyo Bishanga, huyu jamaa anaelekea kutumia tu mabinti au usikute roho yake inasuuzika kwa mchezo anaoufanya pia anaweza kuwa na gonjwa anasambaza!!
 
pole sana dada inaelekea alikutema kipindi kigumu sana

asante shost mie sio Binti mamaangu nina wajukuu na vitukuu sema najichanganya na nyie mabinti ile nipate idea za maisha tu
Sawa Kiduku...
 
Vizieni engo zake then uchukue image zake af uzpost apa ili tuweze kuwalert madada zetu! au toa jina lake apa, hiyo si issue ya kuchekelea tena! ni hazard!
 
Hapo ndiyo nakerekaga akifanya mwanamke majina kibao ila wanaume most of the time inakuwaga kama sifa fulani..sipatagi jibu kwenye hili!! Hata hivyo Bishanga, huyu jamaa anaelekea kutumia tu mabinti au usikute roho yake inasuuzika kwa mchezo anaoufanya pia anaweza kuwa na gonjwa anasambaza!!
Maelezo ya tabia hii sidhani kama ni rahisi kihivyo.The point is huyu bwana wakati anaanza kutongoza dem mpya chances are anakuwa genuinily interested in her na ndio maana anamfukuzia kwa ari ,kasi na bidii ya kutosha.Halafu Belinda ujue kwa wanaume wengi kufukuzia mwanamke pia huwa ina raha yake ,mwingine akipata anaridhika na kutulia mwingine baada ya muda anakuwa bored anaamua kutafuta mawindo mapya na mwisho inakuwa ni circle ambayo FL kaieleza kwenye thread yake. Kubwa la kuelewa hapa ni kwamba wanaume wengi huwa tunashindwa kutofautisha tamaa(lust) na mapenzi(love),lust ni transient(ya mpito) na mapenzi ni permanent( yakudumu).Busara ya kutofautisha haya mawili kwa wanawake huwa ni rahisi mno na ndo maana mara nyingi hamlali na mwanamme mpaka mumpende kwanza, kwa wanaume ni mtihani mkubwa sana na wako wanaume wengi tu hadi anaingia kaburini anakuwa haja realize tofauti ya love na lust.Belinda wakati mwingine kinamama muwe mnatusamehe bure tu badala kutamani mtumwagie maji kwenye $@#...mbu zetu kama alivyotishia dada mmoja hapo juu!
 
FL1 analama gani tumnote jamani tuwaalert mabinti zetu.

Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kitoto. eti engagement ring my foot.

Lily Flower, haitaji kuwa na alama.... hao mabinti waambie limtu likija na gia ya pete kabla ya kutoa mahari alikimbize.
na hao wadada wanaokamatwa hata siwaelewi. mtu anakuvalishaje pete hata kwenu hajaenda kujitambulisha? au mambo yamebadilika siku hizi? mwishoe sasa utambulisho utakuwa baada ya ndoa, lol!
 
chinekeeeee....ndo tumekwisha sasa....na siku hizi tunavyopenda ndoa.....mbona tutajibeba......hebu akae huko huko asije kuingia hapa JF....

Preta;
You mean mtu akija hapa JF ana chances kubwa sana ya kukupata wewe au nyie? Natamani ningejua kabla, au ningekaa kimya bila kupost!
 
FL1 analama gani tumnote jamani tuwaalert mabinti zetu.

Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kitoto. eti engagement ring my foot.

...imagine?! lakini anawapata hao wajinga 'wajinga wenziwe' walio desparate kuvishwa engagement ring, kumbe mwenzao ana cheki standards kama 'mwakilishi mkaazi wa "TBS" '. I wish watu kama hawa mngekuwa mnawaweka hadharani;

cheater_sign_m.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom