Aaaah matapeli badilisheni swaga bhna

Aaaah matapeli badilisheni swaga bhna

Heheheeheh nilishakutana nazo mbili alafu ya tatu ilikiwa eti 'kuna nafasi za jeshi zimetoka..vip una mwanao nikuunganishe?'
 
Huyo mpuuzi alishanitumia sms kama hiyo dozi niliyompa si ya nchi hii na namba yangu atakuwa ka delete
 
Duh kumbe tuko wengi, mimi niliwahi kutumiwa msg dizain hizo hizo ila nikauchuna na sikuifuta nimeiacha tu na kila nikiisoma nacheka mwenyewe saa zingine...
1507929249099.png
 
Back
Top Bottom