Aaaah!. . .Kwan nini bana,si mke wangu. . .Si nampenda??

Aaaah!. . .Kwan nini bana,si mke wangu. . .Si nampenda??

So,wanawake masiajiriwe??

wanawake wasiajiriwe tena?hapana shemeji!waajiriwe lakini kwa kiasi fulani mtusaidie inapowezekana ili tuweze kusoare the best for last!si unajua yale makitu yanataka free mind and soul enh!
ngoja nikumegee siri.......
kuna karesent ment fulani tunakuwa nako kusema ukweli pale tunatoka wote kazini and yu guys mnakimbilia remote na magazeti na siye inatupasa kuanza kucare watoto,kuingia jikoni,kuwaandalia maji ya kuoga!so mkijitosa japo kuuliza kwa dada mtoto ameshindaje toka mchana na mkambeba kidogo help the kids with the homework,tutawaona na nyie mko busy na u care so tutafanya kazi za home fasta kisha tuibuke chumbani kwa bed kuandaa mashambulizi!jus a little hand in homey stuff wud do!
 
karibu mwaya!ni njema kama twajifunza pamoja wachukua nondo unazoona mwake ziapplly kwenye mahusiano yako af inakuwa poa ila mbaya!mapenzi raha ukiyapa heshima yake stahiki!
Shikamoo mahaba!lol

ooh yeah,,
you sound fresh as summer breeze
thank u
 
mhn! labda hii dictionary itawasaidia cc kule musoma tukikuta hii tunakuchapa mura!

DICTIONARY;

HONEY-----kimeo
DEAR----wakuzugia
SWEET-----mshamba
MY LOVE---zezeta
BABY---- jinga
MPENZI----malaya
EVALASTING----****
DARLING---*****
WIFE-----kahaba

JE MPENZI WAKO ANAKUITAJE?
 
samahani kuna sehemu nimesahau ku edit poleni kwa kuwakwaza
 
siamini saaaana katika babamwenye nyumba kuosha vyombo na kufua.
Anyway, labda kwa kuwa bado naishi maisha ya kufua kwa kwanga au kuku na kufukicha, suuza, anika kambani, tafuta vibanio na kubana.

Sufuria kusugua kwa mchanga, tena naoshea nyuma ya nyumba kwenye karo la kuinama.

Akha! Baba afanye majukumu yake, alete mapochopocho, ajenge, watoto wasome vizuri, akileta na ka usafiri ni bonus.

Mie na watoto tutafanya the rest, labda kama mganga wake kamwambia akifanya hizo kazi ni dawa ya utajiri.
 
Kongosho ,ngoja wanawake wenzio wakushukie.Unatetea "mfumo dume eeeehh!
 
Last edited by a moderator:
Ujinga mtupu...
kama unampenda sana mkeo ajiri ma house girl wa kutosha..
 
siamini saaaana katika babamwenye nyumba kuosha vyombo na kufua.
Anyway, labda kwa kuwa bado naishi maisha ya kufua kwa kwanga au kuku na kufukicha, suuza, anika kambani, tafuta vibanio na kubana.

Sufuria kusugua kwa mchanga, tena naoshea nyuma ya nyumba kwenye karo la kuinama.

Akha! Baba afanye majukumu yake, alete mapochopocho, ajenge, watoto wasome vizuri, akileta na ka usafiri ni bonus.

Mie na watoto tutafanya the rest, labda kama mganga wake kamwambia akifanya hizo kazi ni dawa ya utajiri.
vipi kama mnatumia dish washer, washing machine, rice cooker etc. naakunga mkono baba kufanya haya mambo 'uswahilini' haileti picha nzuri lakini niko comfortable kama ni indoors kama kule oysterbay etc

Ujinga mtupu...
kama unampenda sana mkeo ajiri ma house girl wa kutosha..
umechelewa sana kuja kuiponda hii thread, nilitegemea ungekuwa poster wa 3 LOL
 
huu ushirikiano uende mpaka kwenye 6x6
 
Hivi na kumsaidia mkeo ni jambo la ajabu? Mfano Mimi nimezaliwa na kukulia familia yenye watoto wa kike tu, kwa sababu wote tulikuwa tukienda Shule tukirudi tulikuwa tukigawiwa majukumu tofauti tofauti ya ndani! Na kila Mtu alifanya bila kujali jinsi zetu. Hivi kuna ubaya gani mkeo akiwa anapika wewe ukaosha vyombo? Au anafua wewe ukasuuza na kuanika NGuo? Mbaya ni wewe UFANYe kazi yeye miguu juu, tena mkiwa wote WAFANYAKAZI ni vizuri kusaidia na ndo Yale Yale humsaidii mkeo then anachoka usiku mambo yatakuwa hobelahobela then ndo nyie tena mnakuja na vithread vya ajabu mkishutumu wake zenu wakati tatizo mnaweza lisolve wenyewe! Wanaume tuamke!
 
Back
Top Bottom