aaaaah!starz haoooooooooo!!

Vijana wametupiaaa!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yule jamaa wa single button ndo apipewa tenda ya kuzitengeneza.
Sijajua budget ni kiasi gani make hii nchi kila mtu anajua mbinu za kuila.

Lakini hayo mambo ya budget kwa nini usimuulize Kavishe wa TBL?
 
Yule jamaa wa single button ndo apipewa tenda ya kuzitengeneza.
Sijajua budget ni kiasi gani make hii nchi kila mtu anajua mbinu za kuila.

sio tenda ya huyo dogo hii kachukua mtu mmoja jina lake la mwisho ni Ngowi la kwanza nimesahau kidogo
 
Mbona wengine zimewabana suruali...hivi anakaa vipi?

Hiyo ni Slim Fit mahsusi kwa watu wenye miili moderate na warefu...models wengi wenye miili iliyoslim hupenda kuvaa hivyo..binafsi ndio suti nipendazo kuvaa maana umbo linaruhusu
 
Aaaah hata wewe pia unabana hizo nyanya
 
Nilikuwa naangalia kama hawajaacha label kwenye mikono ya suti! Inaoneka kuna mshikaji kawatonya ...ushamba... safi sana zimetulia kwa kweli na kila la heri kwenye kutuwakilisha
 
Michezaji michafu mirasta sijui ndo ya nini
 
Hiyo ni Slim Fit mahsusi kwa watu wenye miili moderate na warefu...models wengi wenye miili iliyoslim hupenda kuvaa hivyo..binafsi ndio suti nipendazo kuvaa maana umbo linaruhusu

Kaseja je?
Ok tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…