aaaaah!starz haoooooooooo!!

Nilijiuliza sana walipoenda ikulu kuonana na mkuu wa kaya kwanini hawakuvaa hivi? kwa maoni yangu naona walizalilisha ikulu kwani walienda kama wanaenda mazoezini, aaaaah kumbe wanaweza kupiga vitu kama hivi
 
Yule jamaa wa single button ndo apipewa tenda ya kuzitengeneza.
Sijajua budget ni kiasi gani make hii nchi kila mtu anajua mbinu za kuila.
 
Dah huyu jamaa wa kati kumbe akivaa suti anapendeza eenh......
mkuu mimi sikuwa nimemfahamu!!aiss suti inatupa muonekano mpya,ngoja nianze mazoezi!!
 
Nilijiuliza sana walipoenda ikulu kuonana na mkuu wa kaya kwanini hawakuvaa hivi? kwa maoni yangu naona walizalilisha ikulu kwani walienda kama wanaenda mazoezini, aaaaah kumbe wanaweza kupiga vitu kama hivi
mkuu siku ile wanaenda kuonana na baba riz hawakuwa wamenunuliwa hizi!!next time utawaona hivi!!
 
mkuu mimi sikuwa nimemfahamu!!aiss suti inatupa muonekano mpya,ngoja nianze mazoezi!!
Ukianza mazoezi na weye utapendeza kama jamaa???

Maana kuna watu kama Nsajigwa hata ukiwavalisha suti toka LONDON bado zitawavaa.....
 
Ukianza mazoezi na weye utapendeza kama jamaa???

Maana kuna watu kama Nsajigwa hata ukiwavalisha suti toka LONDON bado zitawavaa.....
mkuu asigwa...unakoenda ni kwenye kunikatisha tamaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Naziona timu tatu kwa haraka. Yanga, Azam na Simba
 
Duh ngassa kama mtoto wa kipaimara!

Ila safi wamependeza

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah kuna sura hapo zinaonesha azijazoea kabisa iyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…