Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Wasalaamuu....
Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi.
Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari" unalalamika, moja kwa moja nikajua Lugha ndio mchawi (Kataa kubali) huna kimbilio lingine zaidi ya Tamisemi. kuna taasisi nyingi sana nje na ndani ya nchi zinazoajiri hawa watu kila kukicha ila "fluency in English is must" "Bunch of Tanzanian arent fluent but we just splice English words to make sentences" kwanini tusilaumu Serikali
Dunia ya sasa English ni kila kitu (Kataa/Kubali). China anajisufu ana uchumi mkubwa ila wamezagaa
"online" kujifunza English, wanajua bila english hawaendi popote, India ndio usiseme, Russia etc etc, Ni ngumu sana "m-UK" or (Native english speaker) ukamkuta anajifunza Kichina/ki-rusi/ki-Arabu etc wanafanya for"leisure"
Vijana tuliopo hakikisha watoto wenu/wetu wanajua lugha ya mkoloni vema, Hawatalaumu serikali kwasababu watakua na "options" nyingi, Jiulize kuna watu mmesoma nao vipanga ila mnalipwa "same scale of salaries" ila hana ujanja wa kutoka hapo kwakua kila analogusa "Ngeli inatakiwa" "HANA"
UDSM ya 37, Muhimbili ya 89, SUA na UDOM za 120+ tatizo Lugha kuandika research inatakiwa uwe na uwanda mpana wa lugha, "HATUNA" tunaamini vipanga ndio wapo mavyuoni ila vyo vipo mkiani "LUGHA TATIZO" sio kwamba hawana cha kuandika ,wanacho ila hakieleweki kwa "Native speaker"
KABLA HUJAMLAZIMISHA MWANAO KUPATA "A,A,A,A" hakikisha anajua Lugha ya mkoloni la sivyo ataishia tamisemi aanze kutukana serikali.
Wengi ni "mbilingembilinge bayoyo"!Sasa mbona madaktari kadha wa kadha digrii ya pili wamesoma ng'ambo mkuu?
Kusoma kwa lugha sio ishu, kwani hukuona vipanga wa UDSM walivyogalagazwa na kijana mdogo wa mika 24 kwenye kutetea makinikia?Sasa mbona madaktari kadha wa kadha digrii ya pili wamesoma ng'ambo mkuu?
Mkuu mpesuluhishwa na "Mahdow" maana mliacha kutagiana
Wengi sana wapo kama wewe hasira zinaishia kwa serikali, Nigerians wao lugha sio tatizo kwao ndio kinawabeba sana sisi tunaanza na mitaala ya kiswaahilNi kweli kabisa!Wauza vitabu Wana chat Yao Amazon ya kubadilishana mawazo na Magwiji nilitoka jasho Hapo,nafuatwa fb na kwenye sababu ya Kitabu changu Cha Kiingereza.Sina hamu ila nilisimama na kuungaunga the the the,so so Wanaija walikuwa wananicheka balaa ila wazungu Wana encourage sana.Nilimchukia sana aliyetulazimisha kutumia Kiswahii kama Lugha ya Taifa Bora ingekuwa second language.Kuna wakati unajiona upo kwenye mateso kisa kimalkia kinakutoa jasho.Tena na HKL yangu.Wito wangu Serikali kwenye Mtaala kiingereza kifundishwe kama Lugha na sio somo kama ilivyo Sasa.
Ulivyong'ang'ania Kiingereza ni Sawa na kutumia Myahudi Jr II , wakati uhalisia unaweza kuwa wewe Mmasai , Mmakonde au hata MsukumaWasalaamuu....
Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi.
Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari" unalalamika, moja kwa moja nikajua Lugha ndio mchawi (Kataa kubali) huna kimbilio lingine zaidi ya Tamisemi. kuna taasisi nyingi sana nje na ndani ya nchi zinazoajiri hawa watu kila kukicha ila "fluency in English is must" "Bunch of Tanzanian arent fluent but we just splice English words to make sentences" kwanini tusilaumu Serikali
Dunia ya sasa English ni kila kitu (Kataa/Kubali). China anajisufu ana uchumi mkubwa ila wamezagaa
"online" kujifunza English, wanajua bila english hawaendi popote, India ndio usiseme, Russia etc etc, Ni ngumu sana "m-UK" or (Native english speaker) ukamkuta anajifunza Kichina/ki-rusi/ki-Arabu etc wanafanya for"leisure"
Vijana tuliopo hakikisha watoto wenu/wetu wanajua lugha ya mkoloni vema, Hawatalaumu serikali kwasababu watakua na "options" nyingi, Jiulize kuna watu mmesoma nao vipanga ila mnalipwa "same scale of salaries" ila hana ujanja wa kutoka hapo kwakua kila analogusa "Ngeli inatakiwa" "HANA"
UDSM ya 37, Muhimbili ya 89, SUA na UDOM za 120+ tatizo Lugha kuandika research inatakiwa uwe na uwanda mpana wa lugha, "HATUNA" tunaamini vipanga ndio wapo mavyuoni ila vyo vipo mkiani "LUGHA TATIZO" sio kwamba hawana cha kuandika ,wanacho ila hakieleweki kwa "Native speaker"
KABLA HUJAMLAZIMISHA MWANAO KUPATA "A,A,A,A" hakikisha anajua Lugha ya mkoloni la sivyo ataishia tamisemi aanze kutukana serikali.
Ulivyong'ang'ania Kiingereza ni Sawa na kutumia Myahudi Jr II , wakati uhalisia unaweza kuwa wewe Mmasai , Mmakonde au hata Msukuma
Mimi naendelea vema, watanzania wa kuokoteza kama punjeHujatupa experience ya Toronto yaliyokukuta kaka
Namaanisha wewe ni mtumwa wa Lugha. Unaona kujua kuongea kwa usahihi Lugha za mkoloni inahisika zaidi kwenye Ajira.Fafanua vema, sijakuelewa
Ni wachache sana.Mimi naendelea vema, watanzania wa kuokoteza kama punje
😅😅Canada wengi hawapapendiMimi naendelea vema, watanzania wa kuokoteza kama punje