A womaniser or Alcoholic?

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,581
18,124
Ladies! Tuseme umepewa options hizo Mbili tu,ni Mume au Mwanaume gani utachagua kwenye hizo vice mbili kati ya Womaniser au Alcoholic?

NB: weekend imeanza,any plan?
 
Mlevi can be dealt with...Womanizer on the other hand is a big NO NO!Unless i'm looking for heartache!
 
Dah!
Bora alcoholic kwa kweli.

Mlevi can be dealt with...Womanizer on the other hand is a big NO NO!Unless i'm looking for heartache!

Jamani!!!!!!!!!
Sasa alcoholic si kila siku atakuwa anakuchafua na matapishi yake pamoja na kujikojolea kitandani?
Hebu tafakarini upya Bana, mi nawahurumia tu kwa uchaguzi wenu..
 
Jamani!!!!!!!!!
Sasa alcoholic si kila siku atakuwa anakuchafua na matapishi yake pamoja na kujikojolea kitandani?
Hebu tafakarini upya Bana, mi nawahurumia tu kwa uchaguzi wenu..
Sio wote wako hivyo!!Mzee wangu hua anaongea sana na anakua mkarimu sana kwenye maswala ya pesa...mwingine haongei sana..mwingine kingereza ndo kinapanda..mwingine analala kwahiyo kama hao hawana matatizo yoyote!Hao wachafuzi wanalazimisha pombe wakati pombe haiwataki...WAACHE!
 
Alcoholic bana nitambeba kwenye mabaa huyu mwingine naweza nisimuone wiki home ila huyu mlevi mara nyingi anakuwa na kiyi chake na glass yake bar hiyohiyo moja nikiona kachelewa namfata kumleta home
 
no choice, will be single for the rest of me life, coz nilishakuwa na alcoholic na nimekiona cha moto, sitakaa nirudie kosa.
huyo womaniser ndio kabisaaaaaaaaa nitaua
 
Sio wote wako hivyo!!Mzee wangu hua anaongea sana na anakua mkarimu sana kwenye maswala ya pesa...mwingine haongei sana..mwingine kingereza ndo kinapanda..mwingine analala kwahiyo kama hao hawana matatizo yoyote!Hao wachafuzi wanalazimisha pombe wakati pombe haiwataki...WAACHE!

Hebu soma ushuhuda wa mwenzako huyu:

nilishakuwa na alcoholic na nimekiona cha moto, sitakaa nirudie kosa.

Halafu tafakari upya..
 
Same difference. Most times alcoholics have also the womanizer vice. Kwa kweli wote hawafai afadhali ubaki single. I regret to say I knew such a person and he still brings a bitter taste in my mouth.
 
Jamani!!!!!!!!!
Sasa alcoholic si kila siku atakuwa anakuchafua na matapishi yake pamoja na kujikojolea kitandani?
Hebu tafakarini upya Bana, mi nawahurumia tu kwa uchaguzi wenu..
weee! Ajikojolee aone.
Bora huyo bwana kuliko womanizer.
Magonjwa mengi sahivi.
Huyo wa alcohol nitakuwa namnunulia makreti yake. Ajigide humo humo ndani.
 
alcoholic kurudi kwake sio chini ya sita usiku, acha hizo kasheshe za kutapika hovyo smell za pombe,kulala na viatu kitandani au kuishia kulala sebuleni n sooo, womaniser na wenyewe marafiki zako, wadogo zako wote halali yake,kukuletea mwanamke ndani haitakuwa shida kwake,promoseless sanaaa akikuambia anakuja kukufuata ujua ni baada ya masaa kadhaa, i would rather be single aiseee
 
Mlevi can be dealt with...Womanizer on the other hand is a big NO NO!Unless i'm looking for heartache!

Mhhhh! Lizzy akisharudi na mapombe yake huko alikopita si ajabu keshakachua nyumba ndogo halafu yuko mbwiiii na si ajabu kishajitapikia hata anasahau kama ana mke ndani ya nyumba...mke ana hamu ya kunanihii na mumewe lakini jamaa hajiwezi hata kuinua kichwa tu haiwezekani halafu hela yote ya kufanyia mambo ya kimaendeleo anaichakachua kwenye kilevi.
 
Back
Top Bottom