A website for Bongo/swahiliwood movie reviews

Guess what, I started working on developing this portal but I did not get much cooperation from the movie people. Please if you can we can meet and see if we can get this project started. I have attached a document View attachment 20549 of what we had in mind.

I would be happy to work with anyone on making this happen.

Borda this is very great an nice initiative

We know that IS/IT development project do not get good or derserved welcoming from key stake holders. Tumefundiswa hivi hata darasani na zipo sabau nyingi. ......

matokeo yake wanaona ni bra kila mtu awe na blog yake. kuna umuhimu wa kuwa na cetralised system yenye taarifa hata za movie zote hata system hiyo nayo ikiwa ni blog.

But mimi nina wazo

  • kwa nini usipanue scope ya hii prj na iwe ni ya kazi wa wasanii( Movie ,music)

  • Sijui ulikosa ushirikiano kwa stake holder gani specific. but ebu jaribu kuwaandikia wizara ya utamaduni na ichezo waulize/waombe waote suppport hata ya publicity tu sio lazima iwe mshiko kwanza ili hata wasanii wawe rahisi kushirikiana na wahusika.

  • Option nyingine ni kutafuta vikampuni na specific kampuni ya IT yenye connection na wizaraya utamaduni. Wape wazo amablo utafanya nao kazi na wao ndio watalipeleka wazo kwa mdau number 1ja.(serikali). But behind hiyo kampuni ni wewe. Kibongo bongo If u get co nnected to connected peple mambo yanakwenda . teh teh teh
NB: no matter uwe na wazo zuri vipi ukiwakusanya wahusika hasa ukawaambia hawa tilia maanani sana. But ukitumia sourceyenye authority fulani kuwafikishia taarifa ushirikiano utakuwa mkubwa.

Inasikitisha serikali unakuta kuna miradi kibao ya iT lakini haisadiii walengwa katika grassroot.

Nenda wizara ya elimu uone wana miradiya IT mingapi but wanafunzi wangapi au walimu wangapi wanafaidika. Mwanafunzini rahisi kupata video ya terminataorlibraru kuliko CD ya dcumentaryya WWI au Video CD documentary ya Distillation and fermentation process.

So i adic e you direct your effort to Subject ministry to getthe support.
 
Yea ur right, maana nimeenda kwa Kanumba nimekuta movies zake karibu zote ni za Games 1st quality, nimeenda IMDb movies za kinigeria zipo bwana angalau hata titles tu na actors and directors, na nina uhakika hiyo ya she is my sister imewekwa kwa sababu director mnigeria aliipeleka...

IMDB ni community driven kama wikipedia, so ukiregister unaweza ukaweka movie zote unazotaka, sio mpaka wazisubmit akina Kanumba.
 
Hata mwanadada joyce kiria anayeendesha kipindi cha bongo movies etv channel five anayo website yake inadeal na vitu kama hivyo inatumia the same name,.
Natumia simu siwezi kukipa link hebu jaribu ku google
 
Thanks man, will check it out.
 
hawa majamaa hawambiliiki na wajuaji. In addition to that, hawashauriki! So I won't waste my time criticizing people who are too unprofessional to take criticism!

Usifanye hivo rafiki, ok what about for the sake of a central db ya hizo "movies zetu"
 
Guess what, I started working on developing this portal but I did not get much cooperation from the movie people. Please if you can we can meet and see if we can get this project started. I have attached a document View attachment 20549 of what we had in mind.

I would be happy to work with anyone on making this happen.

Yaani nimefurahije? we acha tu.
Actually mi mwanzo I thought I could just do it casually like the way I run my blog, but nikagundua haitakuwa effective, yaani haitatimiza malengo ninayotaka (movie-auditing and setting some standards), wadau wamenipa ideas, I even wrote three letters to different parties already, nikaanza na kukusanya na sources so far, all I needed was people to work with. THANK GOD.

May be if we can cyber meet, via skype au anything, coz sipo nyumbani kwa takriban 2 years. I am more than ready to do this. And nimepitia hiyo pdf am glad it has also the reviews mentioned.

Halafu who as mtazamaji asked, which guys did you go to? Like just a list.
 
Habari wandugu wa JF,
mimi ni miongoni wa mapenzi wa movies. Sasa ninamtindo kila nikimaliza kuangalia movie huwa naenda kwenye websites (e.g rotten tomatoes) kutoa reviews zangu au hata tu kusoma. Pia hua naangalia na movies za nyumbani (mcheza kwao hutunzwa), najua zinaboa sana hizi movies so njia mojawapo ya kuanza kuzichekecha ni kuwa na website solely and strictly for movie reviews au hata blog.

Hii inaweza onekana dhaifu mwanzo kwa sababu waangalia movies hizi wengi ni wa mitaa ya kati ambao hawana time na mtandao lakini fikiria hawa waigizaji wengi wao wana-mablog, so hiyo asilimia chache ya watu "wakicriticize" hizi movies na huu mtandao ukakua, habari zinaweza wafikia waangaliaji through magazeti, tv shows kama bongo mvies (lazima itawatikisa kidogo hawa ma directors) Pia katika tuzo kunaweza kua na critic award for worst/best movies kulindana na sound, picha n.k

Sasa nimeileta hii ishu kwa mtu anaeweza come up with the idea (yaani website) au anaeweza nipa chaneli ambazo naweza jua movies ambazo zimeshaigizwa mpaka sasa TZ(maana sipo nchini kwa mda, kama miaka miwili)

Nikishapata hivo vitu viwili (especially the website with list of the bongo movies to date, and coming ones) nitaihamishia hii thread kwenye "entertainment forum"
Mkuu wazo lako ni zuri sana, maana hata mimi nilikuwa na kitu kama icho mawazoni. Nimesoma ile document (Project Brief) yako, si mbaya ila kwa maoni yangu nahisi ungeongeza kitu kingine zaidi ya kuwa na database ya filam za bongo tu, nadhani jambo la kwanza project ipanuke atleast hiwe ina-cover East Africa kwa ujumla, na kitu kingine kwa kuwa watazamaji wengi hawana internet na si watumiaji haswa wa internet, basi kuwe na huwezekano wa kuwatolea kijarida cha uchambuzi wa filam kwa uchache mwezi mara moja kwa kuanzia, nadhani itasaidia pia kwa wale ambao hawana access ya kutumia mtandao wa computer.

Mimi nipo kwenye hiyo tasnia ya mambo ya Filam, ila naishi nje ya nchi, tatizo ninalo liona kwa wasanii wetu ni kukosa elimu ya uigizaji ila vipaji vipo sana tu...! Kikianzishwa kitu kama iki nadhani kitawasaidia sana kwa hawa wasanii kwenda kujinoa kule chuo cha sanaa Bagamoyo, kile chuo ni chuo kizuri sana, nadhani unaweza kuwahusisha kwenye hiyo project yako.
 
Hii document uliyoisoma nimeletwa humu na mkuu wingine...

Aisee thanks for the ideas za magazine this is superb...
Halafu na ya East Africa pia tutalifanyia kazi,, Na kule Bagamoyo ... yaani maoni yote ni mazuri... Wale bagamoyo na vyuo vingine vya sanaa vikitoa criticisms zao hiyo itawahamasisha watu wajinoe.. our country really needs michango na opinions za watu ambao wanapata elimu katika hii secta...just like you.
 
Mkuu nashukuru na nimefarijika kwa kupokea maoni yangu, ni matumaini kuwa mtaifanya kazi na itafanikiwa...! Mimi nilikuwa na tabia ya kuingia kwenye hizi blog za hawa wasanii kina the greatest lakini cha ajabu ukiwakosoa tena kwa njia nzuri si kwa kashfa hawatoi maoni yako, wao wanachotaka ni kuwasifia tu hata pale wanapoonekana dhahiri kuwa wameharibu... Nimetembelea huu mtadao FilamuCentralOline naona bdo kuna kazi kubwa sana inatakiwa kufanyika.

Tupo pamoja mkuu!
 
sijapenda design ya website yao,,
inabidi watafute means ya kupdate their site and make it look great
 
Back
Top Bottom