A warning Message to all Wives and Girlfriends

A warning Message to all Wives and Girlfriends

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
IMG-20140612-WA0014.jpg


Kwenu wake na girlfriends,

Kama mnavyojua tena na wale ambao walikuwa hawajui, Fainali za Kombe za Dunia zinaanza wiki hii huko Brazil. Kama baadhi yenu unavyojua, Fainali za Kombe la Dunia huwa zinamalizika huku familia na mahusiano mengi yakivunjika. Watu wengi wamechukulia hili kama mzaha lakini baada ya Christmas, Fainali za Kombe la Dunia zinashika nafasi ya pili kwa kuvunja mahusiano ya watu.

Kwa mfano, wanasheria wa sheria za familia wame-predict kwaka huu kutakuwa na misuguano mingi ndani ya familia kutokana na Kombe la Dunia. Hii inatokea hasa kwa zile familia ambazo mmoja ni fanatic wa soka na mwigine hana interest kabisa na soka. Hao ambao hawana interest na soka wanajulikana kitaalamu kama "World Cup Widows": Family law team warns of woes of 'World Cup widows' : News from Connect Gazelles

Ili kuepuka kuvunjika kwa mahusiano kuna baadhi wamekuja na tips za kufanya Kombe la dunia liwe a family affair. Kwa mfano, wapo walioshauri ku-oganise family sweepstake, kuwa creative jikoni, ku-spend time together kati ya mechi na mechi, have quickie during half-time, n.k: Relate’s tips for making World Cup time a family affair | Relate

Hizi tips zinaweza kusaidia, lakini baadhi yetu tumeona haziko fair ikizingatiwa tumesubiri mashindano haya kwa miaka minne. Kwa mfano, kati ya mechi na mechi ni wakati wa kukutana na fanatic wenzetu ku-discuss mechi jana. Najua kutokana na kuanza kutumika kwa goal technology hakutakuwa tena na discussion kali kama "the ball crossed the line" lakini sheria za offside, red card ni zile zile. So, bado tutakuwa na mijadala mikali. Four years of waiting siyo mchezo ati. Pili, it is only for one month, so kama uliweza kuvumilia mengine utashindwaje kutuacha alone kwa siku 30 tuu?

Tayari kuna masuala fulani yameshaanza kujitokeza mapema kwenye nyumba, kama vile kuulizwa kama timu ya Tanzania imeshawasili Brazil, itacheza lini, sijui kuna send-off ya mtoto wa shangazi, n.k. Kwa hiyo, chama chetu cha COALITION OF THE WILLING kimeamua ku-react quickly kwa kuandika rules mahususi ambazo ni muhimu sana kuzingatia ili kuendelea ku-preserve your beauty.


  1. Remote control itakuwa inamilikiwa nasi kuanzia Alhamisi hii ya tarehe 13 Juni 2014 hadi Jumapili ya tarehe 13 Julai 2014.
  2. Kuna tofauti ya karibu masaa 6 kati ya Brazil na Tanzania. Mechi nyingine zitakuwa zinaonyeshwa usiku kwa saa za Tanzania. Hivyo basi, marufuku kulalama kama baada ya mechi na kulingana na matokea nikaamua kutokuja chumbani na kulala kwenye sofa.
  3. Tafadhali waambie marafiki zako wote kuwa wasijifungue, kuolewa au kufa wakati wa kipindi Kombe la Dunia kwa sababu hatutaenda kushiriki nao.
  4. Ni lazima ku-support timu ninazo-support. Ikitolewa timu moja huwa tunahamia timu nyingine mpaka fainali. Siyo ligi h
  5. Hakuna kuongea wakati wa mechi, subiri mpaka half-time au baada ya mechi kumalizika. Ikitokea kuna extra-time au kupigiana penati please wait.
  6. Hata baada ya mechi kumalizika, marudio baada ya mechi ni muhimu sana kama ilivyo mechi yenyewe, kwa hiyo nitakuwa naziangalia pia. So, please bear with me.
  7. Siku ambazo hakuna mechi tunaweza kuangalia Sex, Lies and Videotape lakini wacheza movie lazima wawe wamevaa jezi za soka na wako Brazil.
  8. Ni marufuku kujipitishapitisha mbele ya TV wakati naagalia mechi. Ni bora utambae kuelekea mlangoni.
  9. Hakikisha huuilizi maswali ambayo hayana mbele wala nyuma kama mechi ya kesho ni kati ya Man Utd na England?
  10. No funny faces kwa marafiki zangu wakati tunaangalia mechi.
  11. Tabasamu kila wakati ispokuwa wakati timu yangu inafungwa. This is very important.
  12. Kutakuwa hakuna mjadala wowote kuhusiana na mwonekano wa Christiano Ronaldo! Professionalism should remain absolute kwa kipindi chote cha Kombe la Dunia.
  13. Kama ume-miss wakati majina ya wachezaji yanaonyeshwa, tafadhali usiniulize yule aliyevaa jezi namba 10 ni nani?
  14. Kwa taarifa Ronaldo wa Brazil na Ronaldo wa Ureno siyo ndugu; Tanzania na Kenya hawaku-qualify kucheza Kombe la Dunia mwaka huu.
 
darl ICHANA.. hivi ile tv tuliyomsaidia miss neddy kuiopoa kwenye mafuriko yale imepona?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Vaislay haijapona ipo kwa fundi
 
Last edited by a moderator:
Bora wangu hapendii mpira kwa hili nimeponaa!
 
Kwenu wake na girlfriends,

Kuongezea tu...
  • Hakuna kubanana kwenye kochi wakati wa mpira...
  • Kama mama hupati usingizi sababu sipo pembeni yako basi naruhusu mto/pillow kukupa co. Na si vinginevyo..
  • Tunatumaini kama tuna watoto wadogo, basi, kubadilisha nappy, au ndoto mbaya basi mke atakuwa kwenye shift...
  • Hakuna kukoroma...
  • ...
 
Me huk kigoma mpaka nimenunua kingamuz cha zuku kwa ajil ya world cup alaf uje unizmie eeee!
 
Back
Top Bottom