A warning Message to all Wives and Girlfriends

A warning Message to all Wives and Girlfriends

Mentor hali si hali
Haka ka 45mns kamenipa puresha ujuee.
Cjui kama tunachomoka!
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa mwajiri, serikali, familia na wengine wote mnaonihusu.
Kwa kutambua kuwa world cup ni ya dunia nzima basi tusaidiane kama ifuatavyo:
1. Boss ukiniona nasinzia ofisini tuamshane tu kwa upole
2. Nikichelewa kufika kazini boss mwezi huu tusameheane tu kwa upole
3. Muhongo umeme mwezi huu tafadhali tusikomoane
4. Mke wangu mwezi huu chukulia tu kama nimesafiri ili tusigombane
5. Chonde chonde boss safari zozote za kikazi zifanyike maeneo ya mjini na padiem boss iongezeke kidogo ili nkalale hotel zenye dstv
6. Strabag naomba barabara zote zifunguliwe ili hata nikichelewa kuamka niweze kuwahi kufika kazini
7. Boss mshahara wa mwezi huu nishikie kwanza maana ntamaliza kwa Ku bett
8. Wafanyakazi wenzangu nikija ofcn cjapiga mswaki tuvumiliane mjue nimekurupuka
9. Mchepuko wangu Tafadhali yale maneno matamu matamu cjui darling, baby ...nahisi huu sio muda wake ntakuudhi bure.
10. Police nikitukana mjue ni hasira tusameheane mwezi huu.

Mwezi huu usitufarakanishe tuvumiliane tuchukuliane ktk kila hali asanteni.

Mentor Upo hapo? Hii ni copy na paste
 
Last edited by a moderator:
Uwii. wewe hizi rules zako zimekaa ki mfumo dume. sikubaliani nazo.
 
Shikamoo mwalimu, ulionaje mtu mzima kuvuliwa nguo upenuni!lahaula...sijui watajisafishaje hawa jamaa zangu.

Kwa hii timu iliyopanda mzigoni?sidhani kwa kweli.wataaaga mapema hawa!
 
Na Netherlands ndo nini kuwakamia wenzao hiv kaaaaaah !ilikuwa ndalilo!
Taaaaaaano !MWe!
Kweli Shikamoo Mheshimiwa Robbin Van Persie
 
Na Netherlands ndo nini kuwakamia wenzao hiv kaaaaaah !ilikuwa ndalilo!
Taaaaaaano !MWe!
Kweli Shikamoo Mheshimiwa Robbin Van Persie

Mmmnh. Taratibu basi maana ni siku ya pili tuu na tayari kombe la dunia limeshaanza kunukisha.

Mwenzako kununuwa hapa hata sms ya morning hajapata leo kisa kuingiza debates za Diamond katikati ya mechi huku timu ya jamaa ikipigwa vitano. Chezea hasira za kipare.

Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
 
Mmmnh. Taratibu basi maana ni siku ya pili tuu na tayari kombe la dunia limeshaanza kunukisha.

Mwenzako kununuwa hapa hata sms ya morning hajapata leo kisa kuingiza debates za Diamond katikati ya mechi huku timu ya jamaa ikipigwa vitano. Chezea hasira za kipare.
Hahahahahahahaha mi niliyajua haya .nikaanza kuishabikia Mbeya City!mapemaaaaa
 
Mentor na EMT nipeni mwongozo,akufe mkoloni Wang au akufe mkoloni wa jirani?
Leo balaa hapa!
Mpk Merkel ndani?
 
Last edited by a moderator:
hah hah haa nashukuru mi nina bed rest ya mwezi mzima so nabrazuka fuleshiiiii hah hah!!
 
Football is a 90-minutes game in which German always wins!
 
Mentor na EMT nipeni mwongozo,akufe mkoloni Wang au akufe mkoloni wa jirani?
Leo balaa hapa!
Mpk Merkel ndani?

ayaaaaa marekani anafanya zambi apa..dakika moja ashamwaga..sor ashatia goli!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom