Nikikamilisha hayo .........haaaffuuuu nina nyumba ndogo utaelewa........???@arusha,baba mngoni,mama mchagga
Nawasalim wana JF
Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme na mke ndiyo matakwa yangu ila kila aliye kwenye ndoa ananitisha kwamba ndoa ndoano.
Sasa ili kuepusha misuguano nataka nimweleze haya:
1.awe anakuja napoishi at my home place mara nne na kulala mara tatu hivi kwa wiki
2.Niwe na uhuru wa kwenda (mimi na watoto wetu) na kulala kwake as long as I want
3.Mwezi wa sita na wa kumi na mbili ahamie/nihamie tuwe pamoja mwezi mzima
My take:Hakika naamini akikubaliana na mimi kwa haya matatu haitatokea kununiana hata siku mmoja as long as every second we will be missing each other
sitokuelewa nina wivu uliopitilizaNikikamilisha hayo .........haaaffuuuu nina nyumba ndogo utaelewa........???
hapanasomeone is dreaming...
unanisomaga vibayaMary tina you are so down to earth... Dah! Wanaume wako wanabahati saana yaonekana Upo so appreciative na sio a demanding person...
pls rudia kuisoma usipoelewa nitakueleweshambona sikuelewi unasubiri nini sasa huendi kanisani? Atatokea mtu mwenye nguvu zake atakupiga bao kiulaini kabisa.yaani wewe na watoto wenu muwe mnaenda kulala kwake??????????????????????????????sijaelewa hapo
yaani umzalishie kwao halafu unaenda na kurudi tu basi au ni nyumba ndogo???????oa na muishi pamoja sio kutembeleana tu.
unanisomaga vibaya
mimi sio mtu wa wanaume ni mtu wa mwanaume
unajua always hisia zangu naziweka huru hapa JF
mimi nimeforesee kwamba nikiishi naye daily kwa miaka kadhaa kuna siku tutakosana/kwaruzana kwa sababu tutakuwa tumezoeana kupita kiasihahahaha the good and bd thing abt life is that humans never realy know how to foresee the cons of a particular situation until it unfonds.......
be blessedKwamba ni mtu wa one man per time... hilo nimekusoma.... Nafikiri nimefikisha ujumbe vibaya.... SORRY...
thanks alotHakuna kishindikanacho chini ya jua. Watu wana mikataba ya kila aina humu duniani. Jaribu kumualeza anaweza kuelewa.....
thanks alot
kuna shosti kaniambia jamaa hatanielewa kuwa A VISITING HUSBAND kwa sababu zisizo na mashiko alinikwaza sana
@arusha,baba mngoni,mama mchagga
Nawasalim wana JF
Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme na mke ndiyo matakwa yangu ila kila aliye kwenye ndoa ananitisha kwamba ndoa ndoano.
Sasa ili kuepusha misuguano nataka nimweleze haya:
1.awe anakuja napoishi at my home place mara nne na kulala mara tatu hivi kwa wiki
2.Niwe na uhuru wa kwenda (mimi na watoto wetu) na kulala kwake as long as I want
3.Mwezi wa sita na wa kumi na mbili ahamie/nihamie tuwe pamoja mwezi mzima
My take:Hakika naamini akikubaliana na mimi kwa haya matatu haitatokea kununiana hata siku mmoja as long as every second we will be missing each other
umekosea brohapa naona kazi ni moja tu.........................hakuna nyingine.....lol...................kulala na kulalana.........
unanisomaga vibaya
mimi sio mtu wa wanaume ni mtu wa mwanaume
unajua always hisia zangu naziweka huru hapa JF