A very touching story, never judge anyone

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
Habari zenyu Doctors and patience, nimeona hii article somewhere nikaona nije tushee pamoja, baadhi mnaweza kuwa mshaisoma, lakini si mbaya kama utairudia tena.

A doctor entered the hospital in hurryafter being called in for an urgent surgery.
He answered the call asap, changed his clothes 'n went directly to the surgery block.
He found the boy's father pacing in the hall waiting for the doctor.
On seeing him, the dad yelled:
"Why did You take all this time to come? Don't You know that my son's life is
in danger? Don't You... have any senseof responsibility? "
The doctor smiled 'n said:
"I am sorry, I wasn't in the hospital 'n I came as fast as I could after
receiving the call......
'n now, I wish you'd calm down so that I can do my work"
"Calm down?!
What if your son was in this room right now, would you calm down?
If your own son dies now what will You do??" said the father angrily
The doctor smiled again 'n replied: "I will say what Job said in the Holy
Book "From dust we came 'n to dust we return, blessed be the name of God".
Doctors cannot prolong lives. Go 'n intercede for your son, we will do ourbest by God's grace"
"Giving advises when we're not concerned is so easy" Murmured the father.
The surgery took some hours after which the doctor went out happy,
"Thank goodness!, your son is saved!"
'n without waiting for the father's reply he carried on his way running.
"If You have any question, ask the nurse!!"
"Why is he so arrogant? He couldn't wait some minutes so that I ask about my son's state"
Commented the father when seeing the nurse minutes after the doctor left.
The nurse answered, tears coming down her face:
"His son died yesterday in a road accident,
he was in the burial when we called him for your son's surgery.
'n now that he saved your son's life, he left running to finish his son's burial."
==========Moral ========
Never judge anyone...
Because You never know how their life is,
what they're going through,'n What their Journey is all About".. !
 
Duh mkuu Mbimbinho duh kweli huyo Doc kajitahidi pamoja na kuwa na uchungu wa kupoteza mtoto bado ameweza kuperform surgery
Kwa wengine ni ngumu sana na kweli ametenda kitendo cha kishujaa sana wakati bado yuko kwenye majonzi ya kumpoteza mtoto wake
 
Last edited by a moderator:

Mkuu[MENTION]Mr Rocky[/MENTION] kwa kweli inahitaji kujitoa kufanya kazi hii. Hapo kwa jinsi yule baba wa mgonjwa alivyokuwa anaongea kama ingekuwa mimi sijui ingekuwaje aseee..
 
MkuuMr Rocky kwa kweli inahitaji kujitoa kufanya kazi hii. Hapo kwa jinsi yule baba wa mgonjwa alivyokuwa anaongea kama ingekuwa mimi sijui ingekuwaje aseee..

Mbimbinho [kwa wengine ilikuwa ni njia rahisi ya kurudia pale pale mlangoni hata huduma hapati
Maana kwa kero za yule baba wakati wewe una machungu yako ni mbaya sana
Ningeweza kurudia pale pale mlangoni hata surgery yenyewe nisifanye
 
Last edited by a moderator:
Mbimbinho [kwa wengine ilikuwa ni njia rahisi ya kurudia pale pale mlangoni hata huduma hapati
Maana kwa kero za yule baba wakati wewe una machungu yako ni mbaya sana
Ningeweza kurudia pale pale mlangoni hata surgery yenyewe nisifanye

Hahahaa, I wouldn't blame you for that mkuu, it really hurts.
 
Hahahaa, I wouldn't blame you for that mkuu, it really hurts.

Mkuu Mbimbinho inaumiza sio kidogo
Umerusha kuwahi wito na then unafika kufanya kazi yako someone anaanza kukublame kwa nini umechelewa hataki hata kusikia sababu z akuchelewa kwako
then at the end anataka bado ukae kumwambia kuwa mtoto wake anaendeleaje
Sijui kama huyo baba alipata guts za kwenda hata kumpa pole doc kwa kumpoteza mtoto wake
 
That's what I've been asking myself. Let's hope alienda kumpa pole na sorry. Kwa kweli inauma na inatia hasira. Situation kama hizi ndo mara nyingi hupelekea kesi ya kuua pasipo kukusudia asee.
 
That's what I've been asking myself. Let's hope alienda kumpa pole na sorry. Kwa kweli inauma na inatia hasira. Situation kama hizi ndo mara nyingi hupelekea kesi ya kuua pasipo kukusudia asee.

Hapo note kwamba licha ya machungu ya kumpoteza mtoto wake alifanya surgery kw amoyo bila kukosea na kumuokoa mtoto wa mwenzake bila kinyongo licha ya maneno yote kutoka kwa baba wa mtoto
 
Hapo note kwamba licha ya machungu ya kumpoteza mtoto wake alifanya surgery kw amoyo bila kukosea na kumuokoa mtoto wa mwenzake bila kinyongo licha ya maneno yote kutoka kwa baba wa mtoto

It really hurts mkuu, when I think of this Gov-Docs saga. That's how it is. Shame to everybody who despises madactari.
 
It really hurts mkuu, when I think of this Gov-Docs saga. That's how it is. Shame to everybody who despises madactari.

The prob na gov yetu ni kuwa wanachukulia mambo simple as if nothing happen and because wanaokufa ni just mere people ambao hawana kwa kulalamika maana viongozi wameweka pamba masikioni na wakipita wanapita na V8 zao wanawamwagia tope au vumbi
 
Ndivyo wanavyofanya madaktari wetu, ila wanaambulia kulaumiwa na kujeruhiwa.
Wanadai mazingira mazuri ya kazi ili mgonjwa aweze kuhudumiwa vizuri na apone.
Wao pia wana familia zinazohitaji huduma hizi na huduma zingine

Serikali yetu haijui kuwa madaktari wasipokuwa na mazingira mazuri wanaweza wakawaambukiza hata wagonjwa waliokuwa na ahueni?

Fikiri umeenda kujifungua, halafu akaja daktari kukuhudumia akitoka kumhudumia mgonjwa mwingine mwenye ugonjwa wa kuambukiza. kama huyo daktari hakupewa vifaa vya usafi, utapona?
 
I wish Mungu angenipa moyo kama wa huyu doctor for sure.
Mbimbinho hivi umeshawah kusikia mtu ameolewa kakuta mume ana mtoto wa mashtuzi, akajitahd aish na yule mtoto na hakuishia hapo akampa mtaji mama wa yule mtoto kwa kuconsider kuwa mama aliyezalishwa kwanza aliharibiwa na mumewe na akaitaji kumsaidia bila infuence yeyote ni just huruma tu kwamba ni mwanamke mwenzangu na aliyemuharibia maisha ni huyu bwana?
 
Duh, mkuu hiyo ni ngumu sana kwa jamii hii ya ZinjanThropus. Inahitaji moyo wa kujitoa na huruma sana, unless you can't asee.!
 
gfsonwin bado wapo watu ambao wana roho za huruma na upendo
bado wapo wasiojali kupata shukrani wala nini wala wasiojali kuambiwa asante na wanafanya mambo ambayo mengine yapo nje ya uwezo wao bila kujali lolote
Ni wachache na ni wachache sana
 
Mr Rocky you are very right my brother ila watu hawa huwaga hata siyo kwamba wanauwezo sana ila ni watu wa huruma na utu wema na wenye upendo na daima ni watu wa kutanguliza wenzao mbele kuliko kutangulia yeye. Ila huwaga na wenyewe hawaishi marefu yani wanakufaga wakiwa bado watu wana wahitaj.
 
Last edited by a moderator:
Duh, mkuu hiyo ni ngumu sana kwa jamii hii ya ZinjanThropus. Inahitaji moyo wa kujitoa na huruma sana, unless you can't asee.!

sasa amini haya nikwambiayo mkuu yapo sana tu. tena ni binadamu wa kawaida sana kwenye haya maisha.
 
Mr Rocky you are very right my brother ila watu hawa huwaga hata siyo kwamba wanauwezo sana ila ni watu wa huruma na utu wema na wenye upendo na daima ni watu wa kutanguliza wenzao mbele kuliko kutangulia yeye. Ila huwaga na wenyewe hawaishi marefu yani wanakufaga wakiwa bado watu wana wahitaj.
gfsonwin nakubaliana na wewe sana
hawana uwezo wala sio watu wa hali ya juu ila wana maisha ya kawaida mno ila wana roho ambazo ni nadra kuzipata au kuziona
Wana real love na love lisilouliza malipo
Wana huruma na maisha ya wenzao kuliko hatta ya kwao
Ni ukweli mtupu usemayo huwa hawadumu kwenye maisha haya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom