A true Tanzanian never goes down!

A true Tanzanian never goes down!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Sasa naamini kabisa kwamba hii nchi ni mpango wa Mungu na kwamba itabakia kuwa hivyo, Mungu kaichagua hii nchi, kwa kweli TanZania tuna bahati ya pekee ambayo nchi nyingi za Kiafrika hazina, kila tunapopatwa na majaribu basi Mungu huingilia kati na kutupigania kabla ya kuangamia kama wengine na sasa hivi haijakuwa tofauti, Mungu ameingilia na kutupigania kutuepusha na fisadi Lowasa na Genge lake waliokuwa tayari wameanza kuwarubuni watu wetu kwamba wao ni wana mabadiliko sasa Mungu amemtumia Dr.Slaa kutuonyesha kwamba hawa ni watu wabaya na tunastahili kuchoma Moto!

Kweli Hii nchi haitaangamia Kamwe, Mungu anatupenda!

Huyo ni muasi no.1. Aliasi upadre wakati Roma ndo wanamuhitaji sana. Akamuasi Rose wakati ndo mapenzi yako juu. Akaisi CCm wakati inamuhitaji. Sasa kawaasi WaTz wakati wanataka MABADILIKO. Aogop$we kama kipindupindu!!!
 
nenda kamtengee maji lowassa hapa unapwaya
 
Lowassa Ni Fisadi Fisadi Fisadi.Ameitia Hii Nchi Kwenye Umaskini Mkubwa Kwasababu Ya Deal Alizokua Anazipiga.Halafu Leo Hii Bila Hata Aibu Anasimama Majukwaani Na Kujiita Mwanamabadiliko.Hana Mabadiliko Yeyote Ni Mwizi Na Akae Akijua Alivyotupiga Inatosha.Ujinga Kwenda Tu Sio Mpaka Na Kurudi
 
People's power... Slaa ndio nani? Hata angekuja Obama kumchafua Lowassa.. Sisi tunamtaka yeye.. Slaa saizi yake sio Lowassa,, saizi yake kinana.. Na hao wengine...
 
People's power... Slaa ndio nani? Hata angekuja Obama kumchafua Lowassa.. Sisi tunamtaka yeye.. Slaa saizi yake sio Lowassa,, saizi yake kinana.. Na hao wengine...
kama nikijaliwa uzima kura yangu ni kwa Lowassa
 
Kwa taarifa yako songea tayari UKAWA. Umati sio kawaida wamehudhuria mkutano wa UKAWA hivi leo. Keep dreaming.
 
Back
Top Bottom