The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,174
Kwa huo uandish nna mashaka..umeonaee....Noma sana babu....kupasuliwa linda kwa mtu kama Mimi ambaye sijui michezo hiyo ni noma sana.bora unipige chuma nife.
Kwa huo uandish nna mashaka..umeonaee....Noma sana babu....kupasuliwa linda kwa mtu kama Mimi ambaye sijui michezo hiyo ni noma sana.bora unipige chuma nife.
Nimekusamehe bure kama hutaiweka nanuna tenahahahahaha......niwie radhi clkey
..part two inakuja.
una vijimaneno weweeeeee, nimecheka sanaNilijua nitakuta picha mnavyobanduana lol
Mlimani city,
Jack Daniels,
Amarula,
Samaki samaki,
Sinza,
Kiwanja kikali,
Agghhhh.......[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ebu ngoja wanaume wa Dar ndio watakuelewa aiseeee
umeonaee....Noma sana babu....kupasuliwa linda kwa mtu kama Mimi ambaye sijui michezo hiyo ni noma sana.bora unipige chuma nife.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesoma hii thread nikawa nacheka maana Christmass imenikuta tukio la kuhisi nafuatiliwa.
Nilikua na mchepuko wa siku nyingi, ila tulipopogia game ni karibu na kwao. Sasa kwenye mishale ya saa8 au 9 hivi usiku wanapita watu wakiongea dirishani
"Unamuachaje! Twende tumfuate bwana, aibu hizo anatuharibia hapahapa"
Nikavaa bukta na t-shirt chapu na kutoka nje, kusikilizia, manzi kwa kua alikua tungi sana hakujua lililo tokea. Saa10 nikarudi ndani nilivohakikisha kuna usalama, nikapiga kimoja na kuondoka mazima. Manzi nikamdanganya kuna sehemu lazima niwepo saa12, akawa mpole tu.
Mahondaw hapo bado sikutaja aina ya gari niliyo na drive siku hiyo....sikutaja jina la ile loji babkubwa mitaa ile ambayo ndio nilienda kula nae "utamu" yule mrembo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakua ni muhaya huyu kwa kujipa promo mwee!
Ohoooo......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Atakua ni muhaya huyu kwa kujipa promo mwee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jf mikwara miiingi... kila mtu anajikuta dp cooper... wengine c.I.a... tiss dooh.. eti km kawaida kulingana na career yangu na mi nikampiga picha...
Aah aaag aaah ha poa baba nimekubali