There is this trust kids will build it to their parents, wanatuona Mashujaa flani hivi. Check dogo alivyopumzika kwa uchovu wa shule.... MadameX kamchukue Jr shule mm ntachelewa leo.
Good example, ila unaweza kukuta katoka kutoa talaka sasa kachukua kilicho chake, wabongo nouma maana ukiacha mama atadai matumizi ya mtoto. Ni mtazamo na mawazo tu jamani msinihukumu.