A stupid engineer indeed, angetumia akili kidogo tu, angechimba shimo hadi mita mbili kwenda chini( mita 15 tu toka barabarani-asigombane na Magufuli) na kuhamisha mti huo kwa gharama nafuu kabisa!
Hapo gharama za surveyor, materials, vifaa ni kubwa mno!
Na hapo ni bila kufikiria change of direction ya traffic at high speed, sababu tosha ya kupata ajali zisizo za lazima!!