A tree house

bbc-documentary-human-planet-youtube_650x400_41523537267.jpeg
Sky Eclat, kuna hawa ndugu zetu kutoka kabila la Korowai kule Papua New Guinea. Makazi yao ya kitamaduni kwenye vijiji vyao huwa ni ya juu kwa juu. Hebu tafuta documentary za BBC kwa jina Human Planet, ni nyingi, inayowahusu wakorowai inaitwa Forest People. Wakorowai huwa wanapanda hadi na mbwa wao na wanapika na kuwasha moto huko huko juu. Alafu vijitoto vyao huwa vinacheza cheza bila uoga kabisa huko juu ya miti kwenye nyumba.
 
bbc-documentary-human-planet-youtube_650x400_41523537267.jpeg
Sky Eclat, kuna huwa ndugu zetu kutoka kabila la Korowai kule Papua New Guinea. Makazi yao ya kitamaduni kwenye vijiji vyao huwa ni ya juu kwa juu. Hebu tafuta documentary za BBC kwa jina Human Planet ni nyingi, kuna moja inaitwa Forest people. Wakorowai huwa wanapanda hadi na mbwa wao na vijitoto vyao huwa vinacheza cheza hadi huko juu kwenye nyumba.
Nitaitafuta mkuu, na wale ni watu wa asili hasa, si ajabu wanajua ni miti gani ukipanda karibu na nyumba nyoka hawasogei karibu.
 
bbc-documentary-human-planet-youtube_650x400_41523537267.jpeg
Sky Eclat, kuna hawa ndugu zetu kutoka kabila la Korowai kule Papua New Guinea. Makazi yao ya kitamaduni kwenye vijiji vyao huwa ni ya juu kwa juu. Hebu tafuta documentary za BBC kwa jina Human Planet, ni nyingi, inayowahusu wakorowai inaitwa Forest People. Wakorowai huwa wanapanda hadi na mbwa wao na wanapika na kuwasha moto huko huko juu. Alafu vijitoto vyao huwa vinacheza cheza bila uoga kabisa huko juu ya miti kwenye nyumba.
Ndo wenye nyumba kama"MADUNGU "ya kule Rufiji kipindi Cha mafuriko
 
nzuri sana nyumba inavutia, na kwa kweli mtu unaenjoy ukikaa amakupumzika sehemu kama hiyo kwa kuwa ni ya asili. lakini pia inahamasisha utunzaji wa miti pamoja na misitu kwa kuepuka kuangusha mti ili ujenge.
 
Back
Top Bottom