hivi wewe uji wa shanga siku hizi unanywea wapi......?
hilo lajiendea zake.....Dr karibu town.....hali ya hewa inahamasisha sana.........
Hivi hilo ngalangala jekundu linatafuta nini barabarani...?
Kuna fiat moja nalo ngalangala kweli kweli, ila nyuma limeandikwa...babaako analo? Sijakujibu wewe, najihami mapema, ila ulivyosema ngalangala ndio nimekumbuka.......
Hahahah...naona umetoa muongozo mapema...mambo vipi lakini?