Aaaahahaha, ww naona ndo mtundu zaidi ebu sema unafanyaje hapo??cha muhimu tour inoge but kanuni zizingatiwe aaahahaha...
Ninasifa zote, Ila nikufahamu kabla
watashare chumba ila vitanda tofauti........
Mtoa mada hayuko serious, mpaka sasa hajatokea..
Guys, niliweka tangazo juu ya tour; na nilipata positive responses kadhaa. Thanks alot nimempata mtu wa kutoka naye for tour and will give feedback when we get back. Thank you all.
Guys, niliweka tangazo juu ya tour; na nilipata positive responses kadhaa. Thanks alot nimempata mtu wa kutoka naye for tour and will give feedback when we get back. Thank you all.
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.
Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.
Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)
Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..
Ambaye yupo interested ani PM.
Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.
This was January 2013! Remember thatkabisa nyie kina dada mna kubali??bora uende na bodyguard kabisa
ikawajeThis was January 2013! Remember that