A sad story of Love

A sad story of Love

Mmmmh digital love is very interesting so sad the guy passed away. Inatia huruma hivi muda woote muambiane i love you hii si kazi jamani.

Najirekodi nkisema i love you alafu na play kazi ndio hiyo nkiamka hadi usiku

NIMEKUMISI SANA

Hahahahahahaha umenichekeshaje manake muda woote mnaambiana i love you mbona kaazi bora enzi zetu ukiandikiwa barua leo kupata jibu lazima siku zipite hapo ukizingatia p.o.box yenyewe ya kanisani acha kabisa bado hela ya stempu duh

Hahahaha Ablessed mie penda sana wewe

Asante sana hunshindi mie nakupenda sana mdogo wangu manake umenipa promo nyumbani shurti nasifiwa kwa ujuzi wa kupika kumbe ujuzi nimepata kwa dada alie tajiri wa roho farkhina asiye na choyo mbona Mungu akubariki, hujuagi tu ulivyonisaidia. Si unajua haya mambo ya kukulia wali maharage ni kazi sana pilau hadi xmas hahahahaha.

Hamna tabu tupo pamoja

Am happy for you two queens...... Napenda sana kuona wanawake wakipendana. Labda ndo maana Mnyaz Mungu kanijalia mabinti wawili wazuri kama mama yao.....:hail::hail::hail:
 
Back
Top Bottom