A road in North Korea

Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.
Nitakuwa nakuombea Mkuu, Mwenyezi Mungu akusaidie ufanikiwe na usijeingia katika mikono ya hao wajamaa!
 
Nitakuwa nakuombea Mkuu, Mwenyezi Mungu akusaidie ufanikiwe na usijeingia katika mikono ya hao wajamaa!
Inshallah,
Asante kwa kuniombea mkuu.ubarikiwe sana.
 
Reactions: ydn
hapo kutakua na masharti ya kutumia iyo barabara sio bure...kwa muda huu na siku kadhaa tu.
 
Umenikumbusha game langu la kutumia sniper ukiwa mlimani unatuma wote bila kujulikana
 
Usipime uchumi wa nchi kuangalia maghoropha na unaweza ukute pamoja na maghorofa yote hayo lakini wanalala na njaa.
labda kama yanajengwa na serikali na hata yakijengwa na serikali maana yake serikali yao ina pesa na pesa za serikali zinatoka kwa wananchi-hivyo wananchi ni well off.pia kama magorofa yanajengwa na wananchi maana yake wananchi wapo vizuri kiuchumi wanaojengwa na wanaokodisha maana huwezi akajenga jengo kubwa huku unajua kutakuwa hamna watu wa kupangishia
 
Barabara gani kuvuka mpaka upande mabasi ya mwendo kasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…