TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 3,438
- 5,799
Sisi mabikra huo moto hautuhusu
Hili disco linapigwa wapi. Lights kali kinoma
Mkuu malaika wanamiliki simjanja..! Nana malaika Gabriel ameamua kushare picha za jahanam
umeshawasiri hapa, nlitaka nkutag yaan lolAccidentally, there's no hell existence , hata Kama hukumu ikiwepo basi watu tutakuwa wakwanza kumshitaki Mungu na kupinga hukumu maana msababishaji ni yeye na huwa anafanya makusud kukutana na muovu shetan, wanakutana wanapiga stori jinsi gan wamtie mwanadamu ktk vishawish na mapito ili akifeli wamkomoe kwa kumwadhibu.
Ujinga mkubwa kuamin haya mamboView attachment 2054752
😁😁😁😁Nafikiri haya mambo ya moto ndio yamefanya watu wasile sana bata
Kiasi flani ime control anasa,,,japo bado watu wabishi,,,hasa likija swala la papuchi
wanaogelea au?
kifo cha wengi harusi 😎
Dj sijui yuko angle gani inaonekana kaplay bonge la ngoma watu wanajirusha hawana habariHili disco linapigwa wapi. Lights kali kinoma
Wazembe sana hao hako kamlima hawakaoni wapande kwa juu hapo
Acha kufuru kafanye tobaAccidentally, there's no hell existence , hata Kama hukumu ikiwepo basi watu tutakuwa wakwanza kumshitaki Mungu na kupinga hukumu maana msababishaji ni yeye na huwa anafanya makusud kukutana na muovu shetan, wanakutana wanapiga stori jinsi gan wamtie mwanadamu ktk vishawish na mapito ili akifeli wamkomoe kwa kumwadhibu.
Ujinga mkubwa kuamin haya mamboView attachment 2054752
DaaaahSema motoni kutanoga
Daaah😅😅😅Wazembe sana hao hako kamlima hawakaoni wapande kwa juu hapo
Ach zinaa mkuuImaginations
Toba mfanye nyie mnaokesha kutisha watu na hiyo jehanam yenu ya uongoAcha kufuru kafanye toba
Hicho ni kiburi cha uhai kinakupa jeuriToba mfanye nyie mnaokesha kutisha watu na hiyo jehanam yenu ya uongo
Washika dini mnaakili mbovu, hiv kwann hamnaga hoja za maana zaid ya vitisho?Hicho ni kiburi cha uhai kinakupa jeuri
Sikutishi najaribu kukuelezea yatakyokukuta endapo hutamrejea MunguWashika dini mnaakili mbovu, hiv kwann hamnaga hoja za maana zaid ya vitisho?