Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Kinachoni-impress mimi labda napohudhuria ile sherehe au tukio la ndoa,hiyo ishu sijawai kuiona,ila napoona my frend anaoa huwa nakua impressed,only that
Inakuwaga haswa baada ya reception….Kinachoni-impress mimi labda napohudhuria ile sherehe au tukio la ndoa,hiyo ishu sijawai kuiona,ila napoona my frend anaoa huwa nakua impressed,only that
Kuna katuni nimewahi kuiona mahali..
Bibi harusi aliporusha maua akina dada walikanyagana huku wakiyagombea.
Lakini Bwana harusi aliporusha ya kwake vijana mabachela walikanyagana kwa sababu ya kukwepa kila mtu hataki limpate yeye....