Rais wa Czech, ndugu Vaclav Klaus(Sina uhakika kama an uhusiano na Santa), amedakwa live kwenye tape akiiba wakati wa mkutano na mwenyeji wake Rais wa Chile ndugu Sebastian Pinera huko...
Hivi kweli kama aliitamani hiyo peni si angeomba tu? Ama awaambie wasaidizi wake wampatie more info ama ama anaweza kupata nyingine ya ziada?
Unless he did it purposely for a show, otherwise peni tu anaiba huyu huko ofisini kwake anafanya nini kuhusu mali za nchi yake?
Mkuu usimshangae sana maana ukistaajabu ya musa utaona ya firauni. Washangae viongozi wetu (wakiafrika) wanaoiba utajiri wa nchi, na sio kalamu! Hakuna kamera znazo wanasa lakini weeee...! Ni wezi balaa