A point of no return..

A point of no return..

Ahaha hapo ni baada yakucheki muvi ya komando kipensi kibanda umiza chini ya presenter lufufuuu..
 
No retreat no surrender
Mi Nilikuwa sipigani eneo ambalo halijazuukwa na kokoto, sikuwa mgomvi ila watu walinionea, ukombozi wangu ni mawe. Namshukuru Mungu sikuua mtu zama zile. Nilifurumusha mawe ya kutosha pasi kujali yanampiga eneo gani mwilini.
 
Ila mimi najua hata kukimbia ni silaha kubwa sanaa...........
 
Daaah far back 1990s at mpanda primary school-kyela town, tulikua na arena yetu inaitwa katapila, zitapigwa hapo! then ubishi unaisha kila mtu anakula jiwe! nilishinda mapambano mengi kwa sababu ya timing.!
 
Aache kandambili aone atakavyorudishwa na kiboko

Hehehe umetishaa, yaani kwa vyovyote vile hutaacha kandambili maana kwa mtiti utakao ashiwa na mamako nyumbani, itakubidi urudi huko huko. Madogo wa siku hizi, linanenepea kwa nyumba likicheza video game.....ndio maana hata wakioa ndoa zinawashinda mapema.
 
Back
Top Bottom