A point of no return..

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,035
23,857
Enzi zangu hizo maana ukizidiwa unakula kona na malapa yako...

1451153266323.jpg
 
..hahahahahaha..mbona unalia kabla ya ndundi zenyewe sasa

Hehehe!! wewe hujui madogo wa kulia wakati wa vita walikua noma sana.
Hii picha imenikumbusha mbali sana, tena nilikua nachora mstari kwenye sakafu halafu natoa mikwara kama wewe noma vuka uje upande wangu.
 
Hehehe!! wewe hujui madogo wa kulia wakati wa vita walikua noma sana.
Hii picha imenikumbusha mbali sana, tena nilikua line kwenye sakafu halafu natoa mikwara kama wewe noma vuka uje upande wangu.

...hahahahaha...kumbe mpo wengi!..ila kulia dalili ya woga,hapo lazima uchezee vitasa tu halafu hilo nduki lako sasa...Ussain Bolt hakamati!
 
Hii ni ile mtu anakunyanyasa sana mpaka unaamuwa liwalo na liwe, na game za hivi unazishinda kwa sababu kuna nguvu flani inakuja na mwili unakuwa na ganzi unamchapa jamaa na inakuwa ni mwisho yeye kukuonea.

Hapo dogo lazima ashinge hii game, mwisho wa mwaka manyanyaso kwisha,.
 
Hahahahaha miaka ya 90 hyo mmechorewa na mstari haya vuka sasa uone unakutana na vitasa vya kutosha kitakachofuata hapo muulize usain bolt
 
Back
Top Bottom