A Picture Say's A Thousands Of Words

A Picture Say's A Thousands Of Words

Dah unajua ukiwa
Hii yote inatokana na vilaza wengi kuingia jf
Mtu natuma picha tens amaesema amesema picture says thousands of words
Picha yenye kusma maelfu ya maneno alaf mtu anakuja na koment uku na kicheko apo ccm wanakimbiza upepo
Shame on you guys
Hii jamii forums foto si kila picha n ya vichekesho sometimes mleta madam anataka wanajf muelezee mawazo ili tujipime uwezo wetu kama magt katika kufumbua mafumbo kupitia taswira mbalimbali
Nawasilisha
 
Nifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
huyo ni mwanamapinduzi!

unafikiri kwanini hao watu hawashughuliki na huyo aliekufa..?
nikwasababu wameona alichotaka kukifanya kilikuwa na manufaa kwao lkn wababe wamemzuia! so wamegundua ndo maana wanashangaa
angalia rangi ya mazingira hlf na rangi ya kimiminika hlf na kwenye kimiminika kuna picha ya ndege weupe kisha angalia na rangi ya nguo za huyo jamaa.. hiyo yote alitaka kubadilisha mji/nchi ila wababe wakamuuwa.. ndio maana nikamuita mwana mapinduzi nafikiri umeelewa
 
_20170604_143538.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom