A Picture Say's A Thousands Of Words

...............Serikali ya thithiem na waandishi wetu wakiamini wao wako salama.
 
Nifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
Hapo ni ccem haitaki kuona professionals wakifanya yao.
 
Reactions: y-n
Dah unajua ukiwa
Hii yote inatokana na vilaza wengi kuingia jf
Mtu natuma picha tens amaesema amesema picture says thousands of words
Picha yenye kusma maelfu ya maneno alaf mtu anakuja na koment uku na kicheko apo ccm wanakimbiza upepo
Shame on you guys
Hii jamii forums foto si kila picha n ya vichekesho sometimes mleta madam anataka wanajf muelezee mawazo ili tujipime uwezo wetu kama magt katika kufumbua mafumbo kupitia taswira mbalimbali
Nawasilisha
 
Hapo ni ccem haitaki kuona professionals wakifanya yao.
Hapo hao wanaonekana ninkama waajir iliyomwahika ni rang na huyo MTU alokufa ni mpaka rangi lakin. Watu wanashangaa nankihuzunika juu ya rangi iliyomwagika na kudharau maisha ya mpaka rang ambayo amekufa
 
View attachment 509182
...............Serikali ya thithiem na waandishi wetu wakiamini wao wako salama.
Au hapa ni Sawa. Na mataifa maskin ambayo yanatambua kuwa .marekan ni taifa gandamz lakin hayana nguvu mwishowe hishia kupablish Yale ambayo wenzao hufanyiwa na hao madhalim wakisubr. na wao zam Yao ifike bila ya kutafuta njia ya kujinasua
 
Mpaka rangi amedondoka na kufa ila maboss wanasikitikia rangi iliyomwagika kuliko binadamu
Ikiwa na maana kwamba

Thamani yako ni pale unapowatumikia tu ukiondoka basi kwao hauna faida

Dreams never end by fear
 
Hapo hao wanaonekana ninkama waajir iliyomwahika ni rang na huyo MTU alokufa ni mpaka rangi lakin. Watu wanashangaa nankihuzunika juu ya rangi iliyomwagika na kudharau maisha ya mpaka rang ambayo amekufa
Vipi Mamaa?mbona mapovu meengi na kujifanya GT then waandika madudu/utumbo?Ulimaanisha nn labda bidada?
 
Au hapa ni Sawa. Na mataifa maskin ambayo yanatambua kuwa .marekan ni taifa gandamz lakin hayana nguvu mwishowe hishia kupablish Yale ambayo wenzao hufanyiwa na hao madhalim wakisubr. na wao zam Yao ifike bila ya kutafuta njia ya kujinasua
Gandamiz,hishia,kupablish,zam Yao~mbona haya maneno yana harufu ya fa~fa~fa yaani harufu ya kibashitebashite!!!
 
Gandamiz,hishia,kupablish,zam Yao~mbona haya maneno yana harufu ya fa~fa~fa yaani harufu ya kibashitebashite!!!
Sometimes typing error na sometimes inatokea outo correct iko sio kipimo cha ubashite tafuta sababu za msing
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…