A new geological epoch/era - ANTHROPOCENE

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
The age of men..

It is now accepted that the world is in a new geological period - called - Anthropocene.
This simply means the age of man's influence into the global ecosystems, biodiversity and climatic systems.
Thus, how man's activities have altered such systems and posed threat to species, including human beings.

It is an interesting agenda and debate for geologists and other earth frontiers.
 
Hii Kali sasa, anyway kama inavyojulikana miaka ya Ki geology ni Millions, sasa hiyo inaanzia wapi?
 
Hii Kali sasa, anyway kama inavyojulikana miaka ya Ki geology ni Millions, sasa hiyo inaanzia wapi?

Hiyo ni debate, kwani wengine wanasema kuanzia karne ya 18 (mwanzo wa mapinduzi ya viwanda), wengine miaka 8,000 iliyopita; na wengine miaka 13,000 hadi 14,000 {ingawa hawa wanakumbwa na criticisms sana, kwani, wanaulizwa, je, Holocene itafit miaka ipi?}
 
duuh so tunaiweka ktk time unit gani? Eon Era Stm Epoch Age au?
katika geological time scale itakaa?
itabidi nimuulize muhindi wangu wa Geology.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom