Umekosea saaana.Unachoshindwa kuelewa au ku obfuscate ni kwamba nikishasema pesa / mali nishacover pesa na asset, regardless ya uchafuchafu mwingine wa shrt term/ long term etc.
Kwa hiyo nionyeshe nilipokosea wapi?
Nikisema pesa na mali za Slim ni $ 53.5 billion unaweza kunisahihisha? Basically ndicho unachojaribu kufanya.
Umekosea saaana.
1.Pesa zipo ndani ya mali. Kwahiyo huna haja ya kurudiarudia neno.
2. Km mali ndiyo assets, then networth ya Slim ni more than $53.5 billion. Kwasababu hiyo 53.5 imepatikana baada ya kusubtract liabilities from mali (assets). Naomba tuelewane mali ni assets na networth si assets peke yake. By the way inatosha tulipofikia.
Oh imebidi nirudi, soma post yangu ya kwanza kabisa katika mjadala huu. Nilikanusha vikali juu ya mlinganisho wa GDP na networth nikieleza wazi kuwa ni measure tofauti. Tene broadly GDP ni economic measure while networth ni accounting measure ambayo imejaa midude mingi inayojicontradict saana na finance. Lakini sasa nilikuwa nataka kuweka sawa assets (mali) na networth. Ukianzisha defn ya liquidity kwenye assets cummulatively utarudi kwenye total assets kama ilivyo kwenye time period frame. Mie niseme wazi nakubaliana na wewe kuwa havilinganishi kama nilivyosisitiza mwanzoni ila nakushauri isivinyumbulishe kwa sababu huna knowledge ya kutosha ya vitu hivi.Tena basi sijaona hasa umesema nini juu ya post yangu ya juu hapo juu ya assets na networth. Ukikubali unatakiwa kusema na sio unakausha.Wewe hueleweki, mara unataka unyambulisho wa short term/ long term, ukiletewa unyambulisho huo huo, wa kuigawanya mali katika liquid and illiquid types za mali kwa mfano (cash/ other assets - specifically called non-cash assets-, cash is a special type of asset because in some aspects an asset is defined as a cashable commodity) unauliza kwanini ninanyumbulisha.
Wewe una obfuscate tu.....
Main points nilizo make ni mbili.
1. Si kweli kwamba Slim ni "twice as rich" as Tanzania kwa sababu huwezi kucompare net worth ya mtu ( accumulated over the years) na GDP ya mwaka mmoja ya nchi, vipimo havija cover timeframe sawa.
2. Hata baada ya kusema hayo ya namba 1 juu, bado ni aibu kwa Mtu mmoja kuwa na mali worth twice our GDP.
There is no conflict or contradiction hapo, which is what you have been trying to do from the start.
Hii singlemindednes isiyoweza ku deal na multiple tracks of thoughts inakufanya usiweze ku chew gum na kutembea at the same time.
Oh imebidi nirudi, soma post yangu ya kwanza kabisa katika mjadala huu. Nilikanusha vikali juu ya mlinganisho wa GDP na networth nikieleza wazi kuwa ni measure tofauti. Tene broadly GDP ni economic measure while networth ni accounting measure ambayo imejaa midude mingi inayojicontradict saana na finance. Lakini sasa nilikuwa nataka kuweka sawa assets (mali) na networth. Ukianzisha defn ya liquidity kwenye assets cummulatively utarudi kwenye total assets kama ilivyo kwenye time period frame. Mie niseme wazi nakubaliana na wewe kuwa havilinganishi kama nilivyosisitiza mwanzoni ila nakushauri isivinyumbulishe kwa sababu huna knowledge ya kutosha ya vitu hivi.
Sasa tunaweza kujadiliana maana tumeelewana kwenye basic issues. Unafaham kuwa Denmark na Norway kila moja inakadiliwa kuwa na GDP ya USD 350billiion. Kwahiyo huyo bwana ukimzidisha mara takribani nane ni kashfa kwa Denmark na Norway? Hebu tuache kulinganisha hivi vitu maana havinani sijui unakuwa unameasure nini? Zipo economics measures nyingi tu tungeweza kulinganishia ila makala hiyo hapo juu na ulinganishaji ni upotoshaji mkubwa saana. Maana components hazifanani. Overall HAVILINGANISHIKI.Na wewe ndiye mwenye knowledge? Mbona unashindwa hata kueleza folly ya analysis ya mtu asiye na knowledge?
Hivi unahitaji knowledge kubwa sana kujua kwamba pato zima la taifa la Tanzania kuwa nusu ya mali za mtu fulani ni kashfa? Regardless ya tecnicalities za GDP na net worth.
Huyu Mmexico ana mali mara mbili ya uzalishaji wote uliotokea Tanzania katika mwaka mzima.
Tell me you dont see something wrong with this picture and I will show you a simpleton.
Sasa tunaweza kujadiliana maana tumeelewana kwenye basic issues. Unafaham kuwa Denmark na Norway kila moja inakadiliwa kuwa na GDP ya USD 350billiion. Kwahiyo huyo bwana ukimzidisha mara takribani nane ni kashfa kwa Denmark na Norway? Hebu tuache kulinganisha hivi vitu maana havinani sijui unakuwa unameasure nini? Zipo economics measures nyingi tu tungeweza kulinganishia ila makala hiyo hapo juu na ulinganishaji ni upotoshaji mkubwa saana. Maana components hazifanani. Overall HAVILINGANISHIKI.
Duh sasa wewe ndio hueleweki. Sijaizungumzia per capital bali hiyo ni nominal. Nimeweka hivyo baada ya post yako kulazimisha tukubali kuwa GDP na networth vinalinganishika. Labda niandike hesabu zangu za darasa la pili kama ulivyotaka. GDP in nominal terms kwa Denmark (maana na mjadala wa Tanzania ulikuwa kwenye nominal na si per capital) ni takribani USD 350 billions. Na huyo bwana ni 53.5 billions=350/53.5= is roughly 7 times. Nikakuuliza kama Denamrk na utajiri ule tunazungumzia huyu bwana is just 1/7 ya Denmark kwahiyo wakiwa 7 inamaana ndiyo uwezo wa Denmark. Na tunakubaliana si kweli. Kwahiyo GDP hailinganishi na networth hata mtu aje na makala za kupamba hakuna kitu kama hicho maana hata components zao ni tofauto kabisa. Kwahiyo hatuitendei haki Tanzania kulinganisha na networth ya mtu. Zipo economic measures nyingine. Km tunaweza basi tuanze na assets zake kuanzia ile twin tower ya bank kuu, state house, nyumba za serikali, balozi zake nje ya nchi, achilia mbali rasilimali nyingine utagundua kuwa we are far better than this guy. I probably think that, some thing is not clear between us. Its very likely, someone else can bridge the gap of our understandings. The general observation is that, we're failing somewhere. Thought we could have agreed earlier but seems the discussion is endless. Naamini lengo si kuaibishana km ulivyosema. Naamini kabisa mjadala huu ni proffessional based than politics.Naona inabidi urudi shule ya msingi, ukajifunze vizuri hesabu za kuzidisha na kugawanya.
Maana huelewi tofauti ya nusu ya na mara nane ya.
We are talking of a factor of sixteenfold, sixteenfold for atoms sake!
That is 1600% Wewe unataka kulinganisha tofauti ya 1600%?
Halafu, as if that is not enough hujaangalia populations za Norway na Denmark ili uweze kuweka vitu katika perspective.
As if that is not enough, hujaweka maanani maliasili, arable land etc etc.
Usitake ku dumb down complex issues.
Duh sasa wewe ndio hueleweki. Sijaizungumzia per capital bali hiyo ni nominal. Nimeweka hivyo baada ya post yako kulazimisha tukubali kuwa GDP na networth vinalinganishika. Labda niandike hesabu zangu za darasa la pili kama ulivyotaka. GDP in nominal terms kwa Denmark (maana na mjadala wa Tanzania ulikuwa kwenye nominal na si per capital) ni takribani USD 350 billions. Na huyo bwana ni 53.5 billions=350/53.5= is roughly 7 times. Nikakuuliza kama Denamrk na utajiri ule tunazungumzia huyu bwana is just 1/7 ya Denmark kwahiyo wakiwa 7 inamaana ndiyo uwezo wa Denmark. Na tunakubaliana si kweli. Kwahiyo GDP hailinganishi na networth hata mtu aje na makala za kupamba hakuna kitu kama hicho maana hata components zao ni tofauto kabisa. Kwahiyo hatuitendei haki Tanzania kulinganisha na networth ya mtu. Zipo economic measures nyingine. Km tunaweza basi tuanze na assets zake kuanzia ile twin tower ya bank kuu, state house, nyumba za serikali, balozi zake nje ya nchi, achilia mbali rasilimali nyingine utagundua kuwa we are far better than this guy. I probably think that, some thing is not clear between us. Its very likely, someone else can bridge the gap of our understandings. The general observation is that, we're failing somewhere. Thought we could have agreed earlier but seems the discussion is endless. Naamini lengo si kuaibishana km ulivyosema. Naamini kabisa mjadala huu ni proffessional based than politics.
Mazee mbona vitu viko wazi hapo juu, tena para ya kwanza tu, au uvivu wa kusoma?
Kuhusu GDP ona wiki hii hapa
http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product
Halafu point yako ya "is it realistic" ina akili sana.Kwa sababu nchi yetu yenyewe "Data not available" na kuna a whole underground economy inaendelea watu wanauza Tanzanite Kenya and some shyt like that, Wamalawi hawana machimbo ya dhahabu lakini wanauza dhahabu wanayouziwa na wabongo katika blackmarket, kwa hiyo hii GDP yetu yenyewe haiko accurate.Ingawa hata ikiwa aacurate I doubt inaweza ku double.
Good. Btw, wewe umeandika kwenye post yako kwamba utajiri wa Bw. Slim ni billioni 53. Sasa ulitaka mimi nieleweje? Kwamba hizi ni T.Sh. au ni USD or any other currency? Then, unanituhumu kuwa sina macho au mvivu wa kusoma kwamba vitu viko wazi para ya kwanza!! Yes, para ya kwanza ilisema bayana kwamba ni USD. Wewe hukusema hivyo. Take it though!
Well, it seems hukuielewa sehemu ya kwanza [GDP inapima nini?] ya swali langu. Ingawaje katika ufafanuzi wako umegusia point niliyoilenga. Kwamba kutumia GDP as a measure of anything is simply a joke and it is by all means flawed. Nimehudhuria lecture nyingi kuhusiana na hii kitu [plus the concept of green accounting] na conclusion ndiyo hiyo. Mr. Sarkozy alichukua hatua kuunda tume iliyokutanisha jopo la wataalamu liliongozwa na Prof. Stiglitz and Prof. Sen, among others, na conclusion yao ni kwamba we need to forget about GDP and search an alternative measure of economic performance. Follow the link: http://www.stiglitz-sen-fitoussi.fr/en/index.htm.
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'em,
Know when to walk away and know when to run.
You never count your money when you're sittin' at the table.
There'll be time enough for countin' when the dealin's done.
Ninajitahidi kuchuna lakini naona unaongeza mengine. Eti utajiri wao unakuwa kwenye stocks? Ni business gani hiyo inayoimpact networth ya mtu iwepo kwenye concentrated kwenye liquid assets. Hebu tufahamishe hiyo biashara ya Slim.Nilitegemea msomaji awe familiaar na currency tunayoongelea kutoka post ya kwanza, kwa hiyo sikuona umuhimu wa kurudiarudia currency.Kama unataka kuleta ubishiubishi wa kutaka watu waandike kama wanaandika Ph.D thesis hapa sahau.You have to do the reading from the first post, if you do not I will consider you lazy.Kitu kikishakuwa initialized juu hakuna haja ya kukirudia rudia, hili wanalijua kuanzia computer programmers mpaka waandishi, shukuru hata miye ninayetumia maneno full, utakutana na millenial kids humu watakupiga na lugha ya tweets utashangaa mwenyewe.Hii ni internet forum, si Ph.D thesis presentation, get it straight.
Mara sikuelewa point, mara nimegusia point uliyoilenga, will you make up your mind?
Ukitaka kuleta detailed argument on GDP hapa nitakwambia any economic data about Tanzania is unreliable, kwa hiyo in short huwezi kufanya discussion.
Na hata hao mabilionea wakina Slim billions zao zina fluctuate kila siku, after all the bulk of that wealth is in stocks, and stocks go up and down every day, let alone on a yearly basis.
The point of these discussions ni kwamba tunapata a round figure ya kujua whereabout ya tulipo.Kwamba kama tuna official GDP ya $ 24 billion, hata ukiweka a margin of error ya 20% (very generous) ambayo itakupa GDP anywhere between $ 19 billion na $ 29 billion, halafu ukampa Slim mwenye net worth ya $ 53.5 billion a more conservative margin of error ya 10%, bado upper limit yake itakuwa about twice our upper limit.
I mean hata kama GDP yetu imekosewa kwa kiasi kikubwa sana, hatumfikii (in so far as a comparison between GDP and net worth can go, I know this was objected before, and I even raised the objection, but the point here is that we are mentioning national figures- albeit yearly ones- in the same breath as the net worth of one person) hata tukizidishiwa 40% tuseme kwamba informal sector yetu ina account another 40% ya pesa za slim (about 4/5 ya GDP yetu) ambayo haijahesabiwa, bado tutakuwa na GDP around 90% ya net worth ya Slim. It will take another 50% ya net worth ya Slim, a doubling of our GDP, ili tumfikie. I mean hata kama kuna makosa, makosa haya ku amount to a complete 100% of our GDP is a tall order.Labda unieleweshe vinginevyo.
Ukitaka kuleta academics hapa mimi naweza kukuambia hata huyo Slim mwenyewe si mtu tajiri kuliko wote, kuna mijibaba huko Colombia haiwezi hata kutaja mali zao kwa sababu zinahusika na mambo illegal.Kuna potential matatizo na kila kitu unachoweza kusema kuhusu hizi comparison.
If you really wanna go down to it watu wanaweza hata kuiquestion number theory na kumu invoke Karl Popper, wengine wakamquestion Euclid na kukwambia kwamba parallel lines ukizichora long enough zinakutana.
Kwa hiyo, kama Kenny Rogers alivyokwambia katika "The Gambler"
Meaning, you gotta know when to apply Newton's laws of Physics, and when to apply Einstein's relativistic ones.You do not want to use relativistic calculating horsepower for a problem that you can solve very well with Newtonian calculations.
Usitumie gobole, au hata sledgehammer kuua nzi.
There is such a thing as over-analysis.
Slim kuwa na net worth iliyo mara mbili ya GDP yetu ni a crying shame.Simple like that.
Ninajitahidi kuchuna lakini naona unaongeza mengine. Eti utajiri wao unakuwa kwenye stocks? Ni business gani hiyo inayoimpact networth ya mtu iwepo kwenye concentrated kwenye liquid assets. Hebu tufahamishe hiyo biashara ya Slim.
Umezungumzia issue za money laundering hapo kwenye issue ya Colombia eti kwamba wanaweza kuwa na utajiri kuliko huo, unauthibitisho au ni kuongea tu. Maana hata zile cartel za Mexico hazipo hivyo.
According to Forbes Magazine, The new " Worlds Richest Man " is now Telecom Tycoon Carlos Slim Helu. At Beating out Bill Gates and Warren Buffet for the tile with a worth of 53.5 billion, up $18.5 billion in just 12 months. Carlos owns a $23 billion stake in America Movil, they went up, 35 percent in a year. The economic down turn last year made billions for billionaires who had a banner year.
Bill Gates is now second, worth $53 billion. His pockets are now $13 billion heavier from a year ago as shares of Microsoft rose 50 percent in 12 months. Warren Buffet, now a paltry third richest man in the world, increased by $10 billion to $47 billion because increased value in shares of Berkshire Hathaway.
Nilitegemea msomaji awe familiaar na currency tunayoongelea kutoka post ya kwanza, kwa hiyo sikuona umuhimu wa kurudiarudia currency.Kama unataka kuleta ubishiubishi wa kutaka watu waandike kama wanaandika Ph.D thesis hapa sahau.You have to do the reading from the first post, if you do not I will consider you lazy.Kitu kikishakuwa initialized juu hakuna haja ya kukirudia rudia, hili wanalijua kuanzia computer programmers mpaka waandishi, shukuru hata miye ninayetumia maneno full, utakutana na millenial kids humu watakupiga na lugha ya tweets utashangaa mwenyewe.Hii ni internet forum, si Ph.D thesis presentation, get it straight.
Mara sikuelewa point, mara nimegusia point uliyoilenga, will you make up your mind?
Ukitaka kuleta detailed argument on GDP hapa nitakwambia any economic data about Tanzania is unreliable, kwa hiyo in short huwezi kufanya discussion.
Na hata hao mabilionea wakina Slim billions zao zina fluctuate kila siku, after all the bulk of that wealth is in stocks, and stocks go up and down every day, let alone on a yearly basis.
The point of these discussions ni kwamba tunapata a round figure ya kujua whereabout ya tulipo.Kwamba kama tuna official GDP ya $ 24 billion, hata ukiweka a margin of error ya 20% (very generous) ambayo itakupa GDP anywhere between $ 19 billion na $ 29 billion, halafu ukampa Slim mwenye net worth ya $ 53.5 billion a more conservative margin of error ya 10%, bado upper limit yake itakuwa about twice our upper limit.
I mean hata kama GDP yetu imekosewa kwa kiasi kikubwa sana, hatumfikii (in so far as a comparison between GDP and net worth can go, I know this was objected before, and I even raised the objection, but the point here is that we are mentioning national figures- albeit yearly ones- in the same breath as the net worth of one person) hata tukizidishiwa 40% tuseme kwamba informal sector yetu ina account another 40% ya pesa za slim (about 4/5 ya GDP yetu) ambayo haijahesabiwa, bado tutakuwa na GDP around 90% ya net worth ya Slim. It will take another 50% ya net worth ya Slim, a doubling of our GDP, ili tumfikie. I mean hata kama kuna makosa, makosa haya ku amount to a complete 100% of our GDP is a tall order.Labda unieleweshe vinginevyo.
Ukitaka kuleta academics hapa mimi naweza kukuambia hata huyo Slim mwenyewe si mtu tajiri kuliko wote, kuna mijibaba huko Colombia haiwezi hata kutaja mali zao kwa sababu zinahusika na mambo illegal.Kuna potential matatizo na kila kitu unachoweza kusema kuhusu hizi comparison.
If you really wanna go down to it watu wanaweza hata kuiquestion number theory na kumu invoke Karl Popper, wengine wakamquestion Euclid na kukwambia kwamba parallel lines ukizichora long enough zinakutana.
Kwa hiyo, kama Kenny Rogers alivyokwambia katika "The Gambler"
Meaning, you gotta know when to apply Newton's laws of Physics, and when to apply Einstein's relativistic ones.You do not want to use relativistic calculating horsepower for a problem that you can solve very well with Newtonian calculations.
Usitumie gobole, au hata sledgehammer kuua nzi.
There is such a thing as over-analysis. Usitumie mapendekezo hot off the press ya kina Stiglitz kufanya uchambuzi wa vitu vilivyo clearly miles apart.
Slim kuwa na net worth iliyo mara mbili ya GDP yetu ni a crying shame.Simple like that.
Ni kwanini unakuwa defensive kama unashindana? If you think you know everything and others know nothing, then make it clear. I mean I don't get it. Yaani unataka nikuamini wewe na kumdharau Stiglitz simply b'se unatuma posts nyingi sana hapa JF? Sijawahi kuona publication [peer reviewed] yako hata moja kuhusiana na ufahamu wako wa masuala haya. You are just as good as anybody. I may be wrong, you may be wrong. I may be right, you may be right. So, keep it friendly. You don't have to break the keyboard of your laptop to reply to my comments. My argument is GDP as it is being measured now is flawed. It's not good for anything. So, you should not use it for anything, not even to compare it with Mr. Slim's wealth.
Well, wanaposema uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 7 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita, what do they mean? Kwamba we are more better off this year than last year? Does that number say anything about people's welfare? What does that number tells you really? Na unatumia GDP estimates kufanya nini? To inform your policy process? What is it for? Research? For political gains? To fool yourself that you are doing a good job? That your growth is on the sustainable path? Even when you account for your 100% margin of error, does it make any difference?
Carlos Slim syas that "Bad governments worry about the rich, good governments worry about the poor".
Ninaendelea kuitafakari sana hii statement. By the look of things Jamii forums is 90% formed by people who would create a bad government.