A message to the Russian ambassador to Tanzania

Unataka speech ya balozi wa Kenya UN akilaani uvamizi wa Urusi??
HakiaMungu hakuna nchi hata moja ya Africa inayosupoort Nato ni vile hazijioneshi tu but kiundani nchi karibia zote za Africa kwenye huu mgogoro zinamsupport Urusi, kwa history walichotufanyia hawa jamaa na wanachofanya kwenye dunia lazima tumupport Russia
 
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
Mirembe case
JamiiForums849978614_360x440.jpg
 
Russia hana Russian aid yoyote huyo ambassador aonyeshe hata choo au hata kisima kimoja tu cha maji kidogo au hata darasa moja tu la chekechea vilivyojengwa kwa hisani ya warusi

Hopeless huyo balozi

We don't need your statement go to hell with your Putin

Munaendekeza expansionism kwenye Ulimwengu huu wa wastaarabu unaoheshimu mipaka ya nchi zingine na uhuru wao na kujiamulia mambo yao as a free country

Russia get out of Africa go and park your stupidity at Kremlin Bulding not in Tanzania
Hapa ndio unapishana na Ukweli. Hii kutegemea kusaudiwa kujenga choo ni UPUMBAVU narudi ni UPUMBAVU waibe dhahabu halafu wajenge madarasa mawili ya shule kuna fairness hapo.
Usifurahie kununuliwa chupi na jirani yako mbele ya familia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Russia hana Russian aid yoyote huyo ambassador aonyeshe hata choo au hata kisima kimoja tu cha maji kidogo au hata darasa moja tu la chekechea vilivyojengwa kwa hisani ya warusi

Hopeless huyo balozi

We don't need your statement go to hell with your Putin

Munaendekeza expansionism kwenye Ulimwengu huu wa wastaarabu unaoheshimu mipaka ya nchi zingine na uhuru wao na kujiamulia mambo yao as a free country

Russia get out of Africa go and park your stupidity at Kremlin Bulding not in Tanzania
Tanzania imejenga hata Choo nchi gan uko ulaya mpaka wewe unataka ujengewe ndo uone thaman, Madem wa siku hizi bila kuhongwa mnaamini hampendwi eeh!
Mama yenu kila siku anaenda kudanga uko Ulaya, Russia siyo Danga la nchi zenye viongozi malaya na shobo na Wazungu.
 
Mrusi katusaidia msaada gani kuendelea wa maendeleo?

Kazi yake kuuza mibomu tu na mifaru ya kivita .Watanzania hatuli vifaru au mikombora ya kirusi na wala hatusomei kwenye magari ya kivita ya kirusi kama madarasa na hatutumii vifaru vya kirusi kama vyoo vya shule vya kujisaidia

Ana msaada gani kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi ? Urusi hopeless kabisa
We baba umekomalia misaada mbona, He who feeds You controls you.
Uhuru gan unaozungumzia ikiwa kula na kwenda chooni tu unatala msaada. Unaona raha sana Tanzania kua demu wa Marekani kutwa kuhongwahongwa na kugawa utamu wa Taifa?
Enewei una Miaka mingap labda? Pengne ni umri wako!
 
Kujiamulia mambo yako ni pamoja na kujiamulia ujiunge na NATO au Urusi au na Marekani au uombe msaada kwa nani uwe wa shimo la choo ,kivita nk
Urusi bwege anapigana vita ohh sitaki Ukraine ijiamulie mambo yake ijiunge na nani au iombe msaada kwa nani!! Si ujinga huo

Halafu anapiga mibomu Donbas region kushinikiza wajiunge na yeye!!!

Katika modern world mrusi ndio hopeless namba one asiyejielewa.Siasa za expansionist zimepitwa na wakati.Hata Afrika tulishaacha vita hizo za machifu Miaka hiyo akina chifu Mirambo,Mkwawa, Chabruma ,Mangi Meli nk kupigana ku extend their territories!! Putin Hopeless kabisa
Anapigana vita zilizopitwa na wakati za enzi za akina Hitler the expansionist war dog
Tatizo mnaleta udigitali kwenye Mambo ya msingi, Point ya kupitwa na muda inaonyesha kiasi gan wewe ni limbukeni. Badili point
 
Two mindsets

1. kujitegemea MINDSET
2. Tegemezi MINDSET

PRO NATO ( tegemezi mindset)
PRO RUSSIA (kujitegemea midset)

WATOA MISAADA NDIO WAPANDISHAJI WAKUU WA BEI NA BIDHAA HUKU WAKIJIPATIA FAIDA LUKUKI

WANAOTUFUNDISHA KUJITEGEMEA wao kwanza mafuta bei raihisi na ndio wanatoa bidhaa zao kwa bei ya chini hata huko ulaya hasa bidhaa za gesi na mafuta
 
Russia hana Russian aid yoyote huyo ambassador aonyeshe hata choo au hata kisima kimoja tu cha maji kidogo au hata darasa moja tu la chekechea vilivyojengwa kwa hisani ya warusi

Hopeless huyo balozi

We don't need your statement go to hell with your Putin

Munaendekeza expansionism kwenye Ulimwengu huu wa wastaarabu unaoheshimu mipaka ya nchi zingine na uhuru wao na kujiamulia mambo yao as a free country

Russia get out of Africa go and park your stupidity at Kremlin Bulding not in Tanzania
Kudanga
 
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
Problem is huna mandate hiyo. To him you are just another random person ambae una claim kuwa una speak on behalf of tanzania.

Sorry you dont have power here, huo ujumbe unaishia hapa hapa jf.
 
HakiaMungu hakuna nchi hata moja ya Africa inayosupoort Nato ni vile hazijioneshi tu but kiundani nchi karibia zote za Africa kwenye huu mgogoro zinamsupport Urusi, kwa history walichotufanyia hawa jamaa na wanachofanya kwenye dunia lazima tumupport Russia
we all support Russia, because we don't need gays generation to our continent!!

zele ni shoga ,hivyo apigwe tu maana ni hasara kwa dunia na ustawi wake!!
 
we all support Russia, because we don't need gays generation to our continent!!

zele ni shoga ,hivyo apigwe tu maana ni hasara kwa dunia na ustawi wake!!
All, means you and who? Never say all because you don't have any quality of representing me. It is only stupid guys of your like, not all. Get it you fool and your peers!..
 
Kama Unaagiza Kondomu pesa unayo, ila kama unanunua nchi hii jua Marekani wamekusaidia pesa ya Tozo
yaani najiskia aibu kuona ,kijana wa kitamzania ambae tunasema taifa la kesho anaona ni msaada kuletewa kondom .

Yaani uibiwe dhahabu ,halafu uletewe kondom na kujengewa choo ,halafu unakenua meno eti msaada . sijui Nani katuloga . Putin hebu ongeza kipigo kwa hao pus ,hata Kama hawahusiki na dhuruma ya hawa majambaz ,Ila kwa sababu wamekubali kutumiwa na majambaz ,Basi wapigwe Tena kipigo heavy!!
 
... sera ya nje ya Tanzania imebadilika siku hizi? To stand with the oppressed? Leo mmeamua kuwa upande wa oppressors?
Siyo wa TZ. Ni haya majuha yasiyojitambua, yanayofanya mitihani ya multiple choice halafu yanajiita yamefaulu na kuotka chuo hata kuandika hayajui!. Hakuna mtu mwenye akili timamu atajipa usemaji wa taifa na eti Africa nzima. Ni majitu mpaumbavu tu na haya haya nidyo yanyorudisha maendeleo nyuma kwa sababu ya upumbavu vichwani!.

Ukitaka kujua TZ haijabadilika katika hii nyanja, Mwangalie mama.
 
Back
Top Bottom