A man with no altenative

A man with no altenative

A man is expected to control a woman
a man is expected to contol and run his family
a man is expected to be full of life altenatives

Hivyo ndivyo nilifundishwa mimi Academia, kwamba nikiwa na mwanaume basi nisiwe na shaka.

Sasa, inakuwaje huyu huyu mwanaume ambaye mimi niliaminishwa kuwa ana uwezo mkubwa anakuwa hivi!!!

  • Mnaishiwa pesa ya matumizi kama familia na yeye anakuangalia mwanamke u-make plan!!!
  • mnekwama njiani bila usafiri, hana hata rafiki mwenye gari wa kuja kuwaokoa!! au anao marafiki wenye magari ila hana network nzuri ya kuweza kupata msaada!!
  • Anamaliza masomo/chuo anakaa mtaani mwaka mzima eti anatafuta kazi!!!! Huwezi hata kujiajiri!!! Huna mtaji, ok, hata vibarua vidogo vidogo unashindwa kufanya!! au ndo usomi wako utadharaurika?
  • Kila siku yeye ni MR. SINA HELA.......utapata lini hela wewe??? wenzio wanazipata wapi? unadhani ni sifa kusema sina hela?
WHAT DOES BEING A MAN MEAN, MAYBE MIMI NINA UELEWA FINYU AMA POTOFU.
to me , being a man means having altenatives, being proactive, na sio kulia lia eti sina hela.
Hii kauli nikiwaambia washikaji zangu tuliomaliza nao chuo miaka miwili iliyopita huwa wananiona nina dharau sana ama nimepata kazi halafu nazuga sina kazi lakini kibongo bongo sio sehemu ya kukaa usubiri kupata kazi inabidi uhustle ili utoke bila hata ya kazi
 
wanaume wa hivyo wanaboa kweli mwanaume hana challenge ya maisha anasubiri mama ampe kwanza mwanaume mpaka miaka 30 unakaa kwenu we hufai kabisa ni wakutupwa mbali.
 
A man is expected to control a woman
a man is expected to contol and run his family
a man is expected to be full of life altenatives

Hivyo ndivyo nilifundishwa mimi Academia, kwamba nikiwa na mwanaume basi nisiwe na shaka.

Sasa, inakuwaje huyu huyu mwanaume ambaye mimi niliaminishwa kuwa ana uwezo mkubwa anakuwa hivi!!!

  • Mnaishiwa pesa ya matumizi kama familia na yeye anakuangalia mwanamke u-make plan!!!
  • mnekwama njiani bila usafiri, hana hata rafiki mwenye gari wa kuja kuwaokoa!! au anao marafiki wenye magari ila hana network nzuri ya kuweza kupata msaada!!
  • Anamaliza masomo/chuo anakaa mtaani mwaka mzima eti anatafuta kazi!!!! Huwezi hata kujiajiri!!! Huna mtaji, ok, hata vibarua vidogo vidogo unashindwa kufanya!! au ndo usomi wako utadharaurika?
  • Kila siku yeye ni MR. SINA HELA.......utapata lini hela wewe??? wenzio wanazipata wapi? unadhani ni sifa kusema sina hela?
WHAT DOES BEING A MAN MEAN, MAYBE MIMI NINA UELEWA FINYU AMA POTOFU.
to me , being a man means having altenatives, being proactive, na sio kulia lia eti sina hela.
Mshukuru Mungu kwa kuwa unaweza kupata altenatives zote hizo, kaka tema mate chini narudia tema mate chini maana kuna watu wanastrugle mpaka the last breath lakini hawafanikiwi.Narudia tena wewe sali na kumshukuru Mungu sana kama umejaliwa kupata hicho ulichonacho
 
A man is expected to control a woman
a man is expected to contol and run his family
a man is expected to be full of life altenatives

Hivyo ndivyo nilifundishwa mimi Academia, kwamba nikiwa na mwanaume basi nisiwe na shaka.

Sasa, inakuwaje huyu huyu mwanaume ambaye mimi niliaminishwa kuwa ana uwezo mkubwa anakuwa hivi!!!

  • Mnaishiwa pesa ya matumizi kama familia na yeye anakuangalia mwanamke u-make plan!!!
  • mnekwama njiani bila usafiri, hana hata rafiki mwenye gari wa kuja kuwaokoa!! au anao marafiki wenye magari ila hana network nzuri ya kuweza kupata msaada!!
  • Anamaliza masomo/chuo anakaa mtaani mwaka mzima eti anatafuta kazi!!!! Huwezi hata kujiajiri!!! Huna mtaji, ok, hata vibarua vidogo vidogo unashindwa kufanya!! au ndo usomi wako utadharaurika?
  • Kila siku yeye ni MR. SINA HELA.......utapata lini hela wewe??? wenzio wanazipata wapi? unadhani ni sifa kusema sina hela?
WHAT DOES BEING A MAN MEAN, MAYBE MIMI NINA UELEWA FINYU AMA POTOFU.
to me , being a man means having altenatives, being proactive, na sio kulia lia eti sina hela.
hapo kwenye altenatives hapo, wanawake watu wa ajab sana, siku moja nimebeba kipenz changu kutokea kurasini tunaelekea ubungo, tukakuta bonge la folen tazara mpaka tabata.., mie ni bingwa wa ku-bypass kupitia service road ili kupinguza makari ya follen, sasa mzee nikajifanya msitaarab sitaki kuvunja sheria nikiwa nae.., akaanza kinipiga vijembe nilipojaribu kupita chocho kidogo alifurahi huyo..., ingawa tulichelewa na mzigo hakunipa. akasema next time nijue kutafta altenatives wakati wa matatizo.. ha ha ha... wanawake bhana...
 
hahahahaaa
mkuu umenifurahisha sana
yaani kwa mwanaume kuwa na altenatives inakuongezea heshima aisee
maana yake ni kwamba unatumia akili
sio unapanga foleni mpaka jua linazama

big up mkuu, na pole kwa kukosa mzigo sku hiyo

Mimi wife wangu ni mtafutaji mzuri kila nikijitahidi simfikii kwa kipato. Nikimwacha tu na nitoe matumizi yote ya familia, chakula, mavazi, matibabu, ada zawatoto, michango ya harusi/misiba kila wkt hela yangu haitoshi. Yeye ndiyo kwanza anajenga kwao. Nimemgawia majukumu machache ila huko kununa sasa! We haya we!

ushindwe na ulegee mwache ajenge kwao we unadhani siku kikieleweka kati yenu ataenda kujisitiri wapi?? Mwanaume sio ndugu yako labda awe wa kumzaa. Nampa big up sana ajenge na nyingine apangishe apate hela zake
 
hapo kwenye altenatives hapo, wanawake watu wa ajab sana, siku moja nimebeba kipenz changu kutokea kurasini tunaelekea ubungo, tukakuta bonge la folen tazara mpaka tabata.., mie ni bingwa wa ku-bypass kupitia service road ili kupinguza makari ya follen, sasa mzee nikajifanya msitaarab sitaki kuvunja sheria nikiwa nae.., akaanza kinipiga vijembe nilipojaribu kupita chocho kidogo alifurahi huyo..., ingawa tulichelewa na mzigo hakunipa. akasema next time nijue kutafta altenatives wakati wa matatizo.. ha ha ha... wanawake bhana...

hata heshima huna sasa mzigo alikupa ndio mzigo gani nina wasiwasi na age yako na hata kama hilo gari lenyewe unalo. Nachukiaga lugha za kuzalilisha wanawake.
 
Narudia tena na tena wadada kama hutaki waste ur time na energy anza kudate age ya kuanzia 35 na kuendelea mbele at least hata 34. Lakini kuchuka chini wengi hamna kitu bado wanna stress za maisha, wanahustle life, wanaishi kwa wazazi, busara hawana, financial ndio kabisa na wanajidai onjaonja yan full vicheche na uongo uongo mwingi. Bora uwe single kwa kweli ufanye kazi upate salary uboreshe maisha yako lakini mtu kutwa analilia hafai he is not a potential man.
 
Haya maneno nimeyapenda sana...kwa ufupi huu ndio uanaume ila wanaume wanajifanya kama hawataki kuusikia huu ukweli
Umeona eeee mi nafikiri wakati mwingine tuwatimue waende kutafuta hela na ikibidi jifanye wewe ndio huna kabisaaaa hizo mihela. Nakumbuka miaka ya 2001 kama sikosei kuna binti mmoja aliolewa na mkaka flani mzembe. Huyo binti kila mara alikua akija namsaidia mwisho nikamwambia hakikisha chakula nachokupa mumeo hali mfukuze akatafute kazi. Yule bwana alinyooka maana kuna siku alishinda njaa na kulaala njaa kesho yake ilibidi aende kutafuta pesa na sasa mambo yao safi mno.
 
A man is expected to control a woman
a man is expected to contol and run his family
a man is expected to be full of life altenatives

Hivyo ndivyo nilifundishwa mimi Academia, kwamba nikiwa na mwanaume basi nisiwe na shaka.

Sasa, inakuwaje huyu huyu mwanaume ambaye mimi niliaminishwa kuwa ana uwezo mkubwa anakuwa hivi!!!

  • Mnaishiwa pesa ya matumizi kama familia na yeye anakuangalia mwanamke u-make plan!!!
  • mnekwama njiani bila usafiri, hana hata rafiki mwenye gari wa kuja kuwaokoa!! au anao marafiki wenye magari ila hana network nzuri ya kuweza kupata msaada!!
  • Anamaliza masomo/chuo anakaa mtaani mwaka mzima eti anatafuta kazi!!!! Huwezi hata kujiajiri!!! Huna mtaji, ok, hata vibarua vidogo vidogo unashindwa kufanya!! au ndo usomi wako utadharaurika?
  • Kila siku yeye ni MR. SINA HELA.......utapata lini hela wewe??? wenzio wanazipata wapi? unadhani ni sifa kusema sina hela?
WHAT DOES BEING A MAN MEAN, MAYBE MIMI NINA UELEWA FINYU AMA POTOFU.
to me , being a man means having altenatives, being proactive, na sio kulia lia eti sina hela.
Bible inasema hivi..amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu..kwa philosophy iliyokua implanted in your brain ni kwamba a man is supposed to do everything i mean everything for you..utapata taaabu wewe aisee..kwa nin wewe usipige simu kuwapigia rafiki zako ambao unaona wana magari au ambao wewe upo connected vizuri? kwa nin usimpe mawazo ya nin cha kufanya muondokane na hizo adha? kuna aina ya watu wanahitaji kuambiwa or pushed alito in order to take some actions..vyote ulivyovisema vinaonesha vipo ndani ya uwezo wako..halafu acha kuulizia ulizia hela wengine wanauza unga..unataka jamaa ajiingize..daah wacha niishie hapa...OuveRRR...!!!!
 
hata heshima huna sasa mzigo alikupa ndio mzigo gani nina wasiwasi na age yako na hata kama hilo gari lenyewe unalo. Nachukiaga lugha za kuzalilisha wanawake.
ok, samahan sana dada.
 
hahahahaaa
mkuu umenifurahisha sana
yaani kwa mwanaume kuwa na altenatives inakuongezea heshima aisee
maana yake ni kwamba unatumia akili
sio unapanga foleni mpaka jua linazama

big up mkuu, na pole kwa kukosa mzigo sku hiyo
teh teh..., asante sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom