Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Hao wababa wanapatikana nchi gani? Namtafuta mmoja.
Hakuna mwanamume kama huyo bongo hii
Acha kujidanganya. . . . .
Tupo wachache... Ila hujachelewa sana!!!
Habari ndio hiyo.... hakunaga bongo! Hasa huko kwa akina OLE....
Fanya utafiti mdogo tu anzia antenatal, pita post natal clinics, nenda mashuleni haswa kindergaten angalia wanaume wangapi wanajishughulisha na wake na watoto wao. . . . .watu wanazungumzia mpaka unga wa lishe kwa ajili ya watoto. . . . . .Fika shule ambazo kuingiza mtoto ni ngumu uone wanaume wanaojitambua wakipigana vikumbo kupata nafasi
Watu wanabadilika kwa kasi. . . . .achana na mawazo ya kivulana/kisichana
I have 80% of the best husband and father characteristics above
Hayo tu? ya kucare watoto! mbona kuna mengi kati ya yaliyoandikwa hapo huyasemi. Nachosema ni kwamba hakuna mwanamume anayefanya hayo yote yaliyoandikwa na mlete uzi
I can't thank the Heaven enough for the life of my father. He is a top notch papa and hubby to our mama... yaani daah hadi nakosa cha kusema
Mimi hapa .....